Michael Dudicoff
Senior Member
- Aug 20, 2024
- 170
- 243
Wao pia wanajihesabu kiroho ni watu wa nyumba ya Israeli na ndio maana wakiitwa kondoo wanafurahi. Na ndio maana ukifatilia unaona wakristu wa hapa TZ wanawashabikia wayahudi dhidi ya wapalestina na kuwaita wayahudi kwamba ni taifa teule pamoja na kwamba wayahudi hawana heshima yoyote kwa Yesu na mama yake kwani kwa itikadi za kiyahudi Yesu ni mwanaharamu au mtoto wa zinaa na pia kwa itikadi za kiyahudi mama yake Yesu alikuwa kahaba ndiyo akapata mtoto bila mume.Wapo wagagagigikoko waliojipachika uwana israeli. Wenyewe wanajijuwa.