Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Yangu hiyo hapo.Wewe yako ipo wapi tuige mfano? Kama hujajenga bado, jitahidi ujenge maana hizo nyumba ulizoweka hapo si mchezo
Hospital hii
Ukiezeka hivyo kwenye hili jiji la joto...balaa utalipata
Vigae havina jotoUkiezeka hivyo kwenye hili jiji la joto...balaa utalipata
Hii nyumba imetulia sana!! Loving it. Pokea maua yako aisee