Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kwa kawaida Wazungu wana akili sana na Maarifa popote walipoAtleast wazungu wanafanya vitu kwa standards
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kawaida Wazungu wana akili sana na Maarifa popote walipoAtleast wazungu wanafanya vitu kwa standards
Wapo mbele sana kwenye mambo ya haki, Huko kwao hata wanyama wana haki zao, ukikutwa unamnyanyasa mnyama ujipange.Kwa kawaida Wazungu wana akili sana na Maarifa popote walipo
Wako mbele kwa kila kitu katika maisha haya ya chini ya jua kwa karne nyingi nyuma...a blessed raceWapo mbele sana kwenye mambo ya haki, Huko kwao hata wanyama wana haki zao, ukikutwa unamnyanyasa mnyama ujipange.
Kuwa na akili kdg basi.Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa
Warabu walikuwa na watumwa na hapo badae kuanza kununua watumwa huku Afrika, hawa walipinga sana harakati za mzungu kupiga stop utumwa, ilibidi kuwe na jitihada za ziada, mpaka leo nchi za kiarabu kama Libya na Mauritania bado kuna biashara ya utumwa kwa waafrika wanaowakamata wakijaribu kuvuka nchi hizo kwenda ulaya.
India kulikuwa na watumwa ila mpaka leo wana matabaka ya kuamini flani yupo chini ya flani, makampuni ya wahindi hapa kwetu yamekuwa yakilalamikiwa baadhi ya mambo kufanyika kitumwa
Wazungu wao kwa wao walitumikishana, waingereza waliwahi kuwa na makoloni mengi hapa duniani kuanzia india, nchi za kiarabu, china, n.k. licha ya hivi ni wao ndio walioanzisha harakati za kuuharamisha.
China kulikuwa na watumwa
Israel kulikuwa na watumwa
Walatini walikuwa na wafungwa, n.k.
Kwenye vitabu vya dini kulikuwa na watumwa
Kiufupi wafungwa wengi walikuwa mateka wa vita za kikabila, wanaoshindwa wanafanyishwa kazi na kunyayaswa.
Lakini licha ya hivyo wazungu alipokuwa mkoloni sisi tukiwa watumwa, bado alikuwa na nafuu, walitupa elimu, waliruhusu watumwa tuweze kujiongoza kwa kiwango flani, angalau kwa mbali walikuwa na utu tofauti na wengine walikuw wanatoa sehemu za siri uwe kama ngombe wa kulima, n.k. ikafikia hatua wazungu wao wenyewe wakaona utumwa sio sawa wakaupiga ban.
Na kumbuka mwenye mamlaka makubwa ya kuchukua hatua hii ni yule anaetumikisha sio watumwa wanaotumikishwa,
Si kuharamisha tu utumwa kwa binadamu lakini wazungu wapo mbele zaidi wameweza kutokomeza kwa kiasi kikubwa unyanyasaji wa wanyama.
Fanya research kidogo basiKuwa na akili kdg basi.
Mzungu (Uingereza) alifuta utumwa Africa ili kuwaumiza superpowers wengine ambao uchumi wao ulikua umejengeka kwenye concept ya slavery ikiwemo uarabuni na rumi (roman)
Ww na akili zako unadhan hata siku moja mzungu atakua na mahaba na mwafrika?
Anaeamua utumwa uachike kwa kiasi kikubwa ni mkoloni sio mtumwa, ilifika kipindi wao wakaona ukoloni haufai wakatupa nchi kwa amani (wangeamua kukaza wangeweza)Kuna upotoshaji mkubwa sana unaofanyika-Historia inapotoshwa, eti ni Wazungu ndio waliotokomeza biashara ya Utumwa? Kwamba Waafrika walitaka Utumwa uendelee? Kwamba walikuwa hawaoni mateso wanayopata? Mpaka mzungu aje kumwambia 'eti wewe unateseka sana sasa basi' Hii inachekesha na kukera, yaani inapuuza Utu wa Mwafrika 100%
Utumwa upo tangu zamani duniani kote, iwe kwa waarabu waislam, wazungu wakristo, wahindi wahindu, wachina wabudha, waafrika waliokuwa na dini zao, wasio na dini, n.k. Hata biblia na Quran zilitambua uwepo wa watumwa
hebu na wewe wacha huo ukenge unaoita wenzakp, hivi hiyo heligoland treaty inahusu nini wakati ilikuwa ni issue ya kubadilishana visiwa ili waweze kutawala vizuri zaidi? Au umeona ukitaja hiyo treaty ndiyo wengine hatujawahi kusikia? Unadhani hatujui kama hizo treaties ni mbinu tu za watawala kumiliki nchi nyingine?Halafu anakuja kenge wa dini fulani anadai kuwa wazungu ndio walikuwa vinara wa biashara ya utumwa na si waarabu ili hali kuna mikataba kama heligoland na moresby treaty ya kukomesha biashara ya utumwa
India ilikuwa na matajiri mpaka walipokuja hao washenzi kupeleka utumwa.Utumwa upo tangu zamani duniani kote, iwe kwa waarabu waislam, wazungu wakristo, wahindi wahindu, wachina wabudha, waafrika waliokuwa na dini zao, wasio na dini, n.k. Hata biblia na Quran zilitambua uwepo wa watumwa
Wazungu ndio walioleta harakati za kuupiga stop
Wazungu wanajilewa.Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa
Warabu walikuwa na watumwa na hapo badae kuanza kununua watumwa huku Afrika, hawa walipinga sana harakati za mzungu kupiga stop utumwa, ilibidi kuwe na jitihada za ziada, mpaka leo nchi za kiarabu kama Libya na Mauritania bado kuna biashara ya utumwa kwa waafrika wanaowakamata wakijaribu kuvuka nchi hizo kwenda ulaya.
India kulikuwa na watumwa ila mpaka leo wana matabaka ya kuamini flani yupo chini ya flani, makampuni ya wahindi hapa kwetu yamekuwa yakilalamikiwa baadhi ya mambo kufanyika kitumwa
Wazungu wao kwa wao walitumikishana, waingereza waliwahi kuwa na makoloni mengi hapa duniani kuanzia india, nchi za kiarabu, china, n.k. licha ya hivi ni wao ndio walioanzisha harakati za kuuharamisha.
China kulikuwa na watumwa
Israel kulikuwa na watumwa
Walatini walikuwa na wafltumwa, mfano mzuri muvi ya apocalypse
Kwenye vitabu vya dini kulikuwa na watumwa
Kiufupi wafungwa wengi walikuwa mateka wa vita za kikabila, wanaoshindwa wanafanyishwa kazi na kunyayaswa.
Lakini licha ya hivyo wazungu alipokuwa mkoloni sisi tukiwa watumwa, bado alikuwa na nafuu, walitupa elimu, waliruhusu watumwa tuweze kujiongoza kwa kiwango flani, angalau kwa mbali walikuwa na utu tofauti na wengine walikuw wanatoa sehemu za siri uwe kama ngombe wa kulima, n.k. ikafikia hatua wazungu wao wenyewe wakaona utumwa sio sawa wakaupiga ban.
Na kumbuka mwenye mamlaka makubwa ya kuchukua hatua hii ni yule anaetumikisha sio watumwa wanaotumikishwa,
Si kuharamisha tu utumwa kwa binadamu lakini wazungu wapo mbele zaidi wameweza kutokomeza kwa kiasi kikubwa unyanyasaji wa wanyama.
Weusi waliopelekwa katika Asia waliishia wapi kwa sababu hawapo hadi sasa. Lakini tunawaona we us I waliopelekwa Ulaya na Marekani, mabaki yao yapo. Wazungu wanapenda rasilimali(mali) lkn wana kuwa na ubinadamu. Hadi sasa katika utumwa mambo leo, ukifanya kazi shirika la mzungu, utalipwa vizuri na ubinadamu unakuwepo. Fanya kazi na watu wa Asia, unaweza hata usipewe likizo, au hata kuhudhuria msiba wa mzazi.Kuwa na akili kdg basi.
Mzungu (Uingereza) alifuta utumwa Africa ili kuwaumiza superpowers wengine ambao uchumi wao ulikua umejengeka kwenye concept ya slavery ikiwemo uarabuni na rumi (roman)
Ww na akili zako unadhan hata siku moja mzungu atakua na mahaba na mwafrika?
sawa, tuondoe helgoland, tubaki na mkataba wa moresby. Mbona waarabu ndio walifanya huo ushenzi na kumbukumbu zipo hadi leo. Hebu nenda bagamoyo na zanzibar kajioneehebu na wewe wacha huo ukenge unaoita wenzakp, hivi hiyo heligoland treaty inahusu nini wakati ilikuwa ni issue ya kubadilishana visiwa ili waweze kutawala vizuri zaidi? Au umeona ukitaja hiyo treaty ndiyo wengine hatujawahi kusikia? Unadhani hatujui kama hizo treaties ni mbinu tu za watawala kumiliki nchi nyingine?
Na vile vile tunajua kuwa hasa Waingereza walianza kupiga vita utumwa baada ya kuona hauna faida kwao na hasa baada ya kuanza kutengeneza mashine za kufanyia kazi mbali mbali.
Nenda kaangalie clips za Thomas Sowell kuhusu biashara ya utumwa kwenye youtube utapata maelezo ya kutosha.
Ni kweli walikuwa Vinara na hawsa Wareno Wabritish na Waspanish na Wadachi.Halafu anakuja kenge wa dini fulani anadai kuwa wazungu ndio walikuwa vinara wa biashara ya utumwa
Walipiga marufuku baada yakutokea mapinduzi ya viwanda na mashine ila kwa huruma yaoTunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa
Warabu walikuwa na watumwa na hapo badae kuanza kununua watumwa huku Afrika, hawa walipinga sana harakati za mzungu kupiga stop utumwa, ilibidi kuwe na jitihada za ziada, mpaka leo nchi za kiarabu kama Libya na Mauritania bado kuna biashara ya utumwa kwa waafrika wanaowakamata wakijaribu kuvuka nchi hizo kwenda ulaya.
India kulikuwa na watumwa ila mpaka leo wana matabaka ya kuamini flani yupo chini ya flani, makampuni ya wahindi hapa kwetu yamekuwa yakilalamikiwa baadhi ya mambo kufanyika kitumwa
Wazungu wao kwa wao walitumikishana, waingereza waliwahi kuwa na makoloni mengi hapa duniani kuanzia india, nchi za kiarabu, china, n.k. licha ya hivi ni wao ndio walioanzisha harakati za kuuharamisha.
China kulikuwa na watumwa
Israel kulikuwa na watumwa
Walatini walikuwa na wafltumwa, mfano mzuri muvi ya apocalypse
Kwenye vitabu vya dini kulikuwa na watumwa
Kiufupi wafungwa wengi walikuwa mateka wa vita za kikabila, wanaoshindwa wanafanyishwa kazi na kunyayaswa.
Lakini licha ya hivyo wazungu alipokuwa mkoloni sisi tukiwa watumwa, bado alikuwa na nafuu, walitupa elimu, waliruhusu watumwa tuweze kujiongoza kwa kiwango flani, angalau kwa mbali walikuwa na utu tofauti na wengine walikuw wanatoa sehemu za siri uwe kama ngombe wa kulima, n.k. ikafikia hatua wazungu wao wenyewe wakaona utumwa sio sawa wakaupiga ban.
Na kumbuka mwenye mamlaka makubwa ya kuchukua hatua hii ni yule anaetumikisha sio watumwa wanaotumikishwa,
Si kuharamisha tu utumwa kwa binadamu lakini wazungu wapo mbele zaidi wameweza kutokomeza kwa kiasi kikubwa unyanyasaji wa wanyama.
na hawa waarabu unawatoa vipi wakati hata sasa bado wanafanya ushenzi huo kwa staili mpya, mbwa hao huwezi kuwatoa kwenye kadhia hiyoNi kweli walikuwa Vinara na hawsa Wareno Wabritish na Waspanish na Wadachi.
Lakini baadae waliamua kupiga Marufuku.
Sijawatoa kwenye kadhia hiyo Waarabu ndio the worst, na bila European Powers kupiga Marufuku Biashara ya Utumwa Mwarabu angeendelea kuifanya mpaka kesho.na hawa waarabu unawatoa vipi wakati hata sasa bado wanafanya ushenzi huo kwa staili mpya, mbwa hao huwezi kuwatoa kwenye kadhia hiyo
Exactlybila European Powers kupiga Marufuku Biashara ya Utumwa Mwarabu angeendelea kuifanya mpaka kesho.
ingia na Congo pia ukajionee Leopold alivyokuwa akifanya, nenda West Africa ukaone jinsi mzungu alivyokuwa akifanya...... simply ni kwamba hii biashara ilikuwa inahusisha makabila mengi wakiwemo waafrika lakini wewe unaishia kukomalia hao waarabu kwa kuwa ni wa dini fulani.sawa, tuondoe helgoland, tubaki na mkataba wa moresby. Mbona waarabu ndio walifanya huo ushenzi na kumbukumbu zipo hadi leo. Hebu nenda bagamoyo na zanzibar kajionee