Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc.
Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize amekuwa akijitangaza kuwa yeye ni namba moja, alikiba naye vivyo hvyo, Hata hvyo WCB wamekuwa hawajibu chochote.
Juzi sallam kapost Kwa maoni yake binafsi kuhusu wasanii Bora Tanzania Kwa mwaka 2022, badae babu tale naye kapost mitazamo ilionekana kutofautiana Ila Kwa ujumla wasanii wa WCB walikuwa top kwenye hyo mitazamo.
Cha kushangaza Kelele za watu zimekuwa nyingi, kuanzia wa kazi, Madee, Harmonize, Ali kiba, Ney wa Mitego na wengine wengi, kila mmoja akilalamika na kuhoji kuhusu mitazamo ya hao managers wawili.
WCB wenyewe wapo kimya kabisa, lakini makelele yanayopigwa sasa, hii inaonyesha kuwa bado WCB wanaogopwa, na pia ndo kioo cha wasanii. Ili utambulike kwamba mziki umeuweza basi hao jamaa wakuweke juu, la sivyo full kulalama! Wahuni wawili wamejipangia rist zao, mji mzima umepiga mayowe, inashangaza Kwa kweli.