WCB bado wana nguvu sana kwenye muziki wa Bongo Flava

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc.

Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize amekuwa akijitangaza kuwa yeye ni namba moja, alikiba naye vivyo hvyo, Hata hvyo WCB wamekuwa hawajibu chochote.

Juzi sallam kapost Kwa maoni yake binafsi kuhusu wasanii Bora Tanzania Kwa mwaka 2022, badae babu tale naye kapost mitazamo ilionekana kutofautiana Ila Kwa ujumla wasanii wa WCB walikuwa top kwenye hyo mitazamo.

Cha kushangaza Kelele za watu zimekuwa nyingi, kuanzia wa kazi, Madee, Harmonize, Ali kiba, Ney wa Mitego na wengine wengi, kila mmoja akilalamika na kuhoji kuhusu mitazamo ya hao managers wawili.

WCB wenyewe wapo kimya kabisa, lakini makelele yanayopigwa sasa, hii inaonyesha kuwa bado WCB wanaogopwa, na pia ndo kioo cha wasanii. Ili utambulike kwamba mziki umeuweza basi hao jamaa wakuweke juu, la sivyo full kulalama! Wahuni wawili wamejipangia rist zao, mji mzima umepiga mayowe, inashangaza Kwa kweli.


 
Ni mitazamo binafsi, sioni mantiki ya kuwapinga
 
Comment ya Madee ndio haijapatiwa majibu au ndio kujifanya hawaioni?
 
Don Namilison hayupo kwenye top ten? Huyu Babu Tale hajui kitu.
 
Ya kwangu hii hapa

Jay melody

Marioo

Harmonize

Jux

Phina

Kontawa

Mbosso

Diamond

Nandy

Zuchu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] King kibaa kaniangusha ktk kujibu aaah angekaushaaa tyuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipowajibu WCB huwez kusikika , huoni harmonize lazima awapige kijembe ili kujiboost kidog 😁😁😁 alaf unajua kabisa
 
Usipowajibu WCB huwez kusikika , huoni harmonize lazima awapige kijembe ili kujiboost kidog [emoji16][emoji16][emoji16] alaf unajua kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaah huko. Bas tyuuh kiba ana mhemko sanaaa. Angekaushaa mbna easy afu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment ya Madee ndio haijapatiwa majibu au ndio kujifanya hawaioni?
Ndio maana ukaitwa ni mtazamo wake, kama hakumuweka basi hakuna aliyemkosha, jibu jepesi tu na kwanini uhoji mitizamo ya watu binafsi
 
Harmonize kamkosea nini Ali Kiba hadi amuite njomba kimbulu?
Huwa anajifanya mjuaji sana lkn ukweli ni kuwa kama tukikaa na kuselect Mfalme wa muziki wa Bongo basi Baba Faiza Ally ndiye King.
 
Umeshasema Salam na Tale wametoa list kwa mtazamo wao binafsi,sasa WCB wanahusikaje tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…