WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

Huyu Ngereza ameingia Mkenge kutoka kwa watu wanaoichukia WCB, sasa hivi kila Nyimbo ikitoka WCB, Kuna memba wanaanzisha uzi kuomba ufungiwe naona safari hii wamefanikiwa.. Kuanzi wimbo Rich Mavoko na Diamond, ukaja Haleluya, ukaja African beauty, ule kaimba na Rick Ross nk
 
Shika adabu yako tunazungumzia wimbo wa mwanza
Ishike adabu yako kwanza ,na sisi tutazishika zetu kunguru wewe, hivi slipomtaja amberruty kusema usije shikwa ukapelekwa central ..hapo anakemea au anahamasisha ,huo mtaro utafukuliwa wako maana una tabia zileee za konki konki
 
Download completed, saved.... Want to PLAY...? BASATA wacheshi tu acha wavune posho kiulaini.
 
Jaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?
anamaanisha Nyegezi
 
Basata wana njaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…