WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

M9 kwa wasafi ni ndogo sana...wasihisi wamewakomoa
 
Ungekuwa na watoto usingese!a huoo upuziii...lakini pia ukiweza kuimba huo wimbo mbele ya mama na baba akoo bhasi basata watakuwa Wamekoseaa...!
Nyegezi na iokote ipi ina maudhui mabaya?
 
hawa wapumbavu wasidhani muziki ni kwa Tanzania pekee, this shit is global. tena rayvanny asiuondoe huo wimbo youtube sheria za basata ziishie tanzania pekee. Pale youtube wangefanya kuublock usionekane tanzania tu ila kwengine uonekane kama kawaida.
 
Ndivyo walivyofanya mkuu, hawa Jamaa akili mingi sana. Tena kwa TZ mtu unaweza kuuangalia kupitia VPN
 
[emoji2][emoji2][emoji1] me naona bora ule pini maana dah..vitoto mtaani ni hiyo song tu, Tena hawaimalizii mpaka mwisho..
Utasikia NYEGE..NYEGE.........
 
Wakiuondoa wimbo Youtube,halafu ukabaki Vevo hapo itakuwaje?

Wakiuondoa wimbo Youtube, halafu wimbo ukabaki kwenye Youtube Channel ya mtu mwingine ambaye hawana uhusiano naye, aliudownload na yeye akauweka, hapo itakuwaje?
 
Milioni 9 ndogo sana ilitakiwa wapigwe 900 ingependeza.
 
Naomba unielekeze namna ya kupakua wimbo YouTube kwa simu maana app nilizokuwa natumia zamani now zinakataa nilikuwa natumia tubemate na videoder
 
Naomba unielekeze namna ya kupakua wimbo YouTube kwa simu maana app nilizokuwa natumia zamani now zinakataa nilikuwa natumia tubemate na videoder
Tumia vidmate
 
Nyegezi na iokote ipi ina maudhui mabaya?
Shida Neno NYEGEEE bhasiii...Why wafupishee Nyegeziii....!??? Iokotee popotee inaimbwaa maana ni ngumu hata mtoto kujua ni matusii sasaa neno Nyegee leynyewee tayari ni Tusii.. Iokotee haina tusi direct ilaa tafsida tu
 
Sawa mwenyekiti wa BASATA

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bhasi nyegee....nyegeee...nyegezii nimeifungulia Mimi Kama mwenyekiti Basata na itabdi Leo uipige mbele ya familia yako Kama sio wazazi wakoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…