WCB walipwa bilioni 2 na Universal music, TRA walamba mil 35

WCB walipwa bilioni 2 na Universal music, TRA walamba mil 35

Huu ndio uzalendo, wa kulipa kodi.
Hongera sana Diamond platnumz & team nzima ya wcb
 
Watu hawana habari ya mapato na matumizi ya serikali lakini wanavyofuatilia ya Bongo Fleva kama yanawahusu
 
Wakajiandae wacheze kokoro tu hakuna namna
Ni mwendo wa mabomu tu deal juu ya deal hit juu ya hit mtakufwaaaz
 
Yule pungati itabidi nae akipumuliwa alipie kodi
 
Bro Las Vegas nimetoa mfano Tu. Inawezekana ikawa mahali kwingine tofauti na kama utaki sikulazimishi lakini ukweli Ni kwamba kodi inalipwa pale kazi zinapofanyika.

Na Ni hivi watu wengi wanataka mikataba isainiwe kwenye nchi zao ili watu wao wafaidike. Mfano Ni Usain Bolt ameamua mikataba ya wadhanini na advertisements zote zifanyike Jamaica kwa sasa ili kodi zilipwe nyumbani kwao.
Wrong!

Bolt hajasema mikataba ifungwe Jamaica.

Na wala hajasema ni kwa sababu ya kodi ya malipo yake kwenye mkataba.

Bali amesema mkataba useme kwamba picha za matangazo zitapigiwa Jamaica kwa ajili ya kuwapa watu wa Jamaica kazi. Hakuna chumvi zingine.

Sheria ya kodi ya nchi, mahakama na mawakili hawajali sana mkataba umefungwa wapi. Ndio maana hukuti kwenye mkataba kuna kipengele kinasema "Mkataba huu umefungiwa hapa kitalu namba sita, mtaa wa Bi. Kidawa, Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam, Tanzania..." Hakuna! They couldn't care less about the location where the contract was entered.
 
Nakumbuka wakati kiba anasagn Sony music!! Huyu jamaa alitokwa na povu kwamba yeye hawezi kusign na label yoyote sababu watampa nini ambacho hajapata kama tuzo zote anazo! Kwahiyo hii aliyoifanya jamaa na universal group Nini?
1486105909869.png
 
Nakumbuka wakati kiba anasagn Sony music!! Huyu jamaa alitokwa na povu kwamba yeye hawezi kusign na label yoyote sababu watampa nini ambacho hajapata kama tuzo zote anazo! Kwahiyo hii aliyoifanya jamaa na universal group Nini? View attachment 466697
Mkataba wake na wa kiba tofauti. Yeye mkataba wake na Universal ni kusambaza kazi za wasafi siyo kuwa chini ya universal.
Kwa hiyo he is free to record and release his songs wao kazi ni kusambaza
 
Nakumbuka wakati kiba anasagn Sony music!! Huyu jamaa alitokwa na povu kwamba yeye hawezi kusign na label yoyote sababu watampa nini ambacho hajapata kama tuzo zote anazo! Kwahiyo hii aliyoifanya jamaa na universal group Nini? View attachment 466697
Kwenye kichwa chako cha habari "unaomba kujua" lakini ndani ya habari unaelezea kama unajua kinachoendelea,sasa kipi ni kipi .......??
Hapa umekuja tena kuonyesha kuwa NI KWELI HUJUI MIKATABA YAO INASEMAJE,ILA HAPO JUU UMEPONDA KITU KABLA HUJAJUA UNACHOKIPONDA. Mkuu uko sawa kweli au chuki imekufanya hadi ukose msimamo wa kile ulichokitaka kujua ....??

Hapa NAKUSAIDIA,tofauti ya mkataba wa DIAMOND na huyo nani sijui (jina limenitoka) ni kuwa DIAMOND MKATABA WAKE UNAHUSU USAMBAZAJI WA MUZIKI WAKE DUNIANI KOTE NA NI WA WASANII WOTE WA WCB,WAKATI HUYO MWINGINE YEYE AMEKUWA CHINI YA SONY,KWA MAANA NYINGINE HUYO MWINGINE YEYE YUKO ANDA KONTROO,LAKINI MOND YEYE ANATOA WIMBO/NYIMBO KWA GHARAMA ZAKE NA KWA RATIBA ZAKE KAMA KAWA,LAKINI HUYO MWINGINE HADI APEWE RUHUSA KWA VILE HATOI PESA YAKE HATA MIA.
 
Bongo eeh bongo darisalam utalialia[emoji445][emoji444]jibaba mie nataka mume jamani.nimepigika hatari!!!!
 
Hao si ndio wale waliomlipa Bilioni 2 alafu akalipa Kodi Milioni 35!!!!

Alafu akasema kishafanya collabo na Rick Ross alafu nyingine kafanya na Rihanna.

Alisema mengi siku ile maana alikuwa na Jazba pengine tukimuuliza tena Leo atasema tunamsingizia.
 
Nakumbuka wakati kiba anasagn Sony music!! Huyu jamaa alitokwa na povu kwamba yeye hawezi kusign na label yoyote sababu watampa nini ambacho hajapata kama tuzo zote anazo! Kwahiyo hii aliyoifanya jamaa na universal group Nini? View attachment 466697
huu mkataba ni tofauti/ hii kampuni ni tofauti.

inahusika na usambazaji kazi za wasanii wanaoingia nao mkataba ,sio ku-manage msanii wanavotaka wao...
hawa wanangoja utake kutoa mziki wajue wanausambaza vipi..
ndio maana hii mary me hata ukiingia kwa link ya chibu utaona iko na option tofauti tofauti sio youtube moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom