supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Huu ndio uzalendo, wa kulipa kodi.
Hongera sana Diamond platnumz & team nzima ya wcb
Hongera sana Diamond platnumz & team nzima ya wcb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 1.75% sijui ni kodi ipi hiyoNi malipo ya aina gani hayo 2bn unalipa 35m tax? VAT?
acha uongo wewe vitu vidogo kwa matumizi yako binafsi hulipii kodiKuna siku nilibeba subwoofer 2 toka Dubai nikaambiwa nilipe laki 5 ikiwanimenunua laki 3.5
Wrong!Bro Las Vegas nimetoa mfano Tu. Inawezekana ikawa mahali kwingine tofauti na kama utaki sikulazimishi lakini ukweli Ni kwamba kodi inalipwa pale kazi zinapofanyika.
Na Ni hivi watu wengi wanataka mikataba isainiwe kwenye nchi zao ili watu wao wafaidike. Mfano Ni Usain Bolt ameamua mikataba ya wadhanini na advertisements zote zifanyike Jamaica kwa sasa ili kodi zilipwe nyumbani kwao.
Mkataba wake na wa kiba tofauti. Yeye mkataba wake na Universal ni kusambaza kazi za wasafi siyo kuwa chini ya universal.Nakumbuka wakati kiba anasagn Sony music!! Huyu jamaa alitokwa na povu kwamba yeye hawezi kusign na label yoyote sababu watampa nini ambacho hajapata kama tuzo zote anazo! Kwahiyo hii aliyoifanya jamaa na universal group Nini? View attachment 466697
Diamond Platnumz Inks Deal With Universal Music; Records Duet With Ne-Yo - El BroideLebo ya WCB inashirikiana na Universal kumpeleka BIN LADEN kimataifa zaid.......
Tofaut na kiba ambaye kila kitu anasimamiwa na Sony........ Yaan ni kama Harmonize pale WCB
Diamond Platnumz Inks Deal With Universal Music; Records Duet With Ne-Yo - El Broide
Naomba uniweke mikataba ya wote wa wili
Kwenye kichwa chako cha habari "unaomba kujua" lakini ndani ya habari unaelezea kama unajua kinachoendelea,sasa kipi ni kipi .......??Nakumbuka wakati kiba anasagn Sony music!! Huyu jamaa alitokwa na povu kwamba yeye hawezi kusign na label yoyote sababu watampa nini ambacho hajapata kama tuzo zote anazo! Kwahiyo hii aliyoifanya jamaa na universal group Nini? View attachment 466697
Hapa umekuja tena kuonyesha kuwa NI KWELI HUJUI MIKATABA YAO INASEMAJE,ILA HAPO JUU UMEPONDA KITU KABLA HUJAJUA UNACHOKIPONDA. Mkuu uko sawa kweli au chuki imekufanya hadi ukose msimamo wa kile ulichokitaka kujua ....??Diamond Platnumz Inks Deal With Universal Music; Records Duet With Ne-Yo - El Broide
Naomba uniweke mikataba ya wote wa wili
kama hujasoma ile shule ya kitonga kuna walakini!Kick za kuachia video
huu mkataba ni tofauti/ hii kampuni ni tofauti.Nakumbuka wakati kiba anasagn Sony music!! Huyu jamaa alitokwa na povu kwamba yeye hawezi kusign na label yoyote sababu watampa nini ambacho hajapata kama tuzo zote anazo! Kwahiyo hii aliyoifanya jamaa na universal group Nini? View attachment 466697