SmartkidInk
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 186
- 161
Nimekubali mkuu hata Clouds media na wao wameanza kuonyesha live kwenye YouTube huku wakisisitiza Kusubcribe channel.Itawaathiri wasanii walio chini ya wasafi..tatzo n kibwa YouTube na IG inatake over now Tanzania.
WCB "wasafi"Kwa wasiofatilia mambo wanaweza shangaa naposema WCB wamebaki wakiwa. Yes, sababu awajawai toka kwenye public na kukiri haya mambo nayoenda kuyasema hapa.
Ni wazi kama utafanya tafiti yako ya uongo na kweli utagundua media zote kubwa za bongo zimesusa kupiga nyimbo za WCB iwe Tv na Radio.
Mwanzoni WCB walikuwa na mgogoro na EATV lakini kwa sasa unazidi kuenea si Clouds media wala EFm kote awachezi nyimbo za Wcb.
Ata supporters wao wakubwa na wenye ushawishi kwenye mitandao especially tweeter na Instagram wamewapotezea.
Inawezekana yote haya yanatokea sababu watu wanaona kijicho na mafanikio ya Wasafi lakini pia haya yanaweza kutokea sababu mapungufu yaliyopo WCB.
Kwa sasa WCB ni kama ukoo kambale kila mtu ana ndevu.
Nimemskia juzi Tale anatamka hadharani kuwa awatanyenyekea media yoyote itayotaka kuwakwamisha akarudia hiyo kauli mara nne..ilo ni tatizo tayari, awajafika uko wanapodhani wamefika. Wanakuja na Tv yao lakini bado awajafika pale wanapodhani.
Mara nimesikia dansa wa Diamond kawatishia uhai watangazaji wa shilawadu mpaka kuwaumiza. Mpaka sasa uongozi wa wcb awajasema lolote kuonyesha kutounga mkono kitendo hicho.
Nimeona mpiga picha wao anamshambulia mkongwe wa muziki Ray C akimuita marehemu wa muziki.
Na mengine mengi, yote haya yanaonyesha kiburi cha mafanikio kimejaa pale WCB si viongozi mpaka wafagiaji wote nyota zinawaka mpaka wamejisahau wamevimba vichwa wameota mapembe.
Wamesahau msingi mkubwa wa mafanikio ya Diamond mpaka anafika hapo na kuifikisha hapo Wasafi ni UNYENYEKEVU.
Inawezekana kuna mambo wanakumbana nayo yanawalazimu kufikia hatua hii ila lazima waelewe biashara ya Entertainment ni biashara ya kibepari.
Naomba hii timu ijitafakari wakati wanauanza mwaka, kuna kitu hakipo sawa.
Mwl Nyerere alitunga kitabu kinaitwa Tujisahihishe, mkipata nafasi kitafuteni mkisome mtajifunza kitu kuhusu kujisahihisha... Kujisahihisha sio kujishusha.
Mtaenda Hyatt mtaenda Mwembeyanga but you still need media houses & media people.
Ni mtazamo tu, kiroho safi!
Kweli usemacho! Kuna wakati Mike Iron alichukiwa kisa tu hakukuwa na mtu wa kumbonda! Na alipokuja LL watu tulishangaa alipata wapi mashabiki!Mtu akiwa winner sana,wananchi wanapata fatigue nae..WCB is the victim of their own success!
Tatizo sio WCB ni hao wananchi...they are tired now,they want them to loose...Wananchi bwana,sometimes are schizophrenic....halafu always wananchi wanajiona wapo sahihi kumbe wapo delusional tu..get scared of stupid people in large quantities kama wananchi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujua ni nini?
Kumjua mtu maana yake nini?
Mwanamme huoni aibu kusema unamjua mtu mume kama umezaa naye?
Umerandana naye maisha yake yote usema hakuna dakika moja uliyomuachia aende chooni kunya kwa hiyo hakuna dakika moja aliyofanya hiyo interview?
Kwa hiyo hakuna kitu kuhusu Gangstarr/Guru ambacho mimi najua ambacho wewe hujui?Mzee acha utoto!
Ulichokijua wewe,wengine wote duniani ambao tunamfatilia Guru ni lazima tungejua,wewe ujue pekee yako,wewe nani?
Hoja ya kwamba sio lazima nijue kwasababu siishi nae muda wote ni ya kipumbavu sana maana wewe ume-claim unajua,iweje wewe ujue halafu mimi nisijue wakati na wewe vilevile huishi nae muda wote?Hii hoja yako ni oxymoronic.
Sema hivi,wewe ni mshabiki wa juu juu tu wa Guru,na ulitoa ile posti ya UONGO kujifanyisha unajua sana kuhusu Guru wakati ni uongo.Sio mshabiki wa kweli,ni just pretender!
Ile post kistaarabu ifute maana wenye akili na mashabiki halisi wa Guru wakiiona watakusikitikia sana kutafuta umaarufu kwa kusema uongo,kibaya zaidi unasema uongo kuhusu marehemu.Umeonesha level kubwa sana ya dishonesty as our fellow man.
Hakuna ubaya ukikubali kosa,then ukaendelea mbele!
Kwa hiyo hakuna kitu kuhusu Gangstarr/Guru ambacho mimi najua ambacho wewe hujui?
Sasa unajionesha ulivyo mdhaifu wa kufikiri.Kwa konfidensi zote nasema hakuna!
Na pia ni vizuri ukafuta ile posti maana ni ya UONGO mkubwa!
Na kwa kwenda mbele zaidi,hakuna connection yoyote kati ya Guru na 50,aidha kwa kuongea,au kikazi au chochote.Ukikipata au kama unacho naomba sana utuwekee hapa!Na kama unacho niko tayari ku-accept defeat!
Naomba next time uache uongo,sema vitu vya kweli na tutakuheshimu tu,hakuna haja ya kusema uongo kupata chochote!
Kitu cha kwanza umesema hakuna connection yoyote kati ya Gangstarr na Fifty Cent.Kwa konfidensi zote nasema hakuna!
Na pia ni vizuri ukafuta ile posti maana ni ya UONGO mkubwa!
Na kwa kwenda mbele zaidi,hakuna connection yoyote kati ya Guru na 50,aidha kwa kuongea,au kikazi au chochote.Ukikipata au kama unacho naomba sana utuwekee hapa!Na kama unacho niko tayari ku-accept defeat!
Naomba next time uache uongo,sema vitu vya kweli na tutakuheshimu tu,hakuna haja ya kusema uongo kupata chochote!
Mkuu umeongea ukweli kabisa .The playlist ndo kipindi kinachokuja juu naw .jamaa wakitumia vizuri weakness za XXL na planet Bongo am sure tutawasahau Dulla na DozenKama naona WCB Wasafi kwa mbali hivi ikitake over bongo tatizo vyombo vya habari hawajitambui wanahisi wao ni Maarufu kuliko wasanii pia Ubunifu siku hizi zero kama EATV na Clouds inaenda huko kipindi kizuri now ni The Playlist. Aidha muziki ni biashara now msanii hawezi kufanya kitu bila masilahi yeyote isitoshe wao wanajifunza kupitia wasanii wa zamani hata wasanii wa nje.
Mkuu heshima yako.Sasa unajionesha ulivyo mdhaifu wa kufikiri.
Hunijui, hujui niko wapi, hujui ninachojua ni nini, lakini unataka kusema hakuna ninachojua ambacho wewe hujui?
Una matatizo ya akili, ndiyo maana nikakuuliza, unajua kujua ni nini?
Umeshindwa kunijibu.
Maana inawezekana kabisa unafikiri kudhani ni kujua, na kwa sababu hiyo, hatuwezi kuelewana.
Kumuita mtu muongo wakati huna ushahidi kwamba ni muongo kunaonesha si tu ujinga wako, bali kunaonesha ulivyokosa decorum ya msingi kabisa.
Ukiwa na uhakika mtu ni muongo, unaonesha uthibitisho kwamba ni muongo.
Unaweza kuthibitisha kwamba mimi ni muongo?
Sasa unajionesha ulivyo mdhaifu wa kufikiri.
Hunijui, hujui niko wapi, hujui ninachojua ni nini, lakini unataka kusema hakuna ninachojua ambacho wewe hujui?
Una matatizo ya akili, ndiyo maana nikakuuliza, unajua kujua ni nini?
Umeshindwa kunijibu.
Maana inawezekana kabisa unafikiri kudhani ni kujua, na kwa sababu hiyo, hatuwezi kuelewana.
Kumuita mtu muongo wakati huna ushahidi kwamba ni muongo kunaonesha si tu ujinga wako, bali kunaonesha ulivyokosa decorum ya msingi kabisa.
Ukiwa na uhakika mtu ni muongo, unaonesha uthibitisho kwamba ni muongo.
Unaweza kuthibitisha kwamba mimi ni muongo?
me too[emoji23] [emoji23]Hata mimi hawapigi nyimbo zangu hii wiki ya pili sasa
Kuna muda lazima ukubali tu kuweka sawa bifu pembeni ili kufanikiwa kimuzik mfano sio watz wengi wana access na internet wengi bado wanasikiliza radio/TV kwahiyo sizan kama kiburi kitawasadia wcbSasa km clouds hawapigi nyimbo kisa anaurafiki na Rc. Yaani Ruge anataka adui yake awe adui wa kila MTU. Si utoto huu...Clouds wanataka kumcontrol kil msanii hata Diamond awe chini yao kitu ambacho jamaa hataki. Yaani Ruge anataka kujifanya yeye ndiyo injia wa mziki mjini. One day Yes utashuka tu. Haiwezekani wasanii wawe chini ya Media. Ni ushithole tu.
Majizo hapigi nyimbo za wasafi kisa Diamond alikuwa ana anatembea na mzazi mwenzake.( mobeto). Yaani tena huu utoto mkubwa sana.
EATV wanachuki diamond kitambo sana.. Ugomvi binafsi wa dulla na diamond na ukaongezea hii zaidi. Eatv wanamaind diamond anawadharau. But viblogu vyao uchwala km vya yule sam misago vinamtangaza diamond.
Diamond kushushwa kazi sana..watampunguza nguvu tu but siyo kumshusha.
Ushithole wa Africa haukwepeki na upo kila sehemu. Binasfi huwa siangalii TV za Tanzania zaidi ya azam two taarifa ya habari tu. Mambo mengine IG,jamii forum inatosha
nyimbo zangu mwenyeweBado unasikiliza nyimbo kwenye TVs na Radio?!!
Ila jamaa umepindisha maneno ya mkuu hapo juu.Mzee Alwatan,
Ndio umeandika nini?
Hebu niambie ni nini maana ya "kinyela"?Kua serious mtu mzima wewe!
Unadhani ukitukana mtu tatizo lako la kusema "UONGO" ndio linaondoka?
Hebu weka ushahidi hapa acha kujificha kwenye "matusi" yako ya kitoto!
We are waiting!
Thanks tatizo Media na watu wanaoendesha Bongo flavour Industry hawataki kubadilika kuanzia kuwalipa wasanii,Kuandaa show zao na makubaliano kwenye Malipo. Mfano mzuri ameuonyesha Diamond platnumz na Management ya WCB Wasafi wanafuata hiyo njia kwa hiyo wanaoendesha Music hawataki haya mabadiliko wanaona wasanii watatanua sana kama wanavyofanya WCB Wasafi.Mkuu umeongea ukweli kabisa .The playlist ndo kipindi kinachokuja juu naw .jamaa wakitumia vizuri weakness za XXL na planet Bongo am sure tutawasahau Dulla na Dozen
Ila jamaa umepindisha maneno ya mkuu hapo juu.
Yeye kasema guru alihojiwa kama alikuwa na bifu na 50
Guru akajibu clearly kwamba hana bifu, na wala hajui kama kuna kitu kama hicho.
Ukiwalinganisha na wasanii wetu wakiulizwa swali kama hilo wanaanza kutema maneno na kukuza mambo.
Mwisho linatokea bifu la kweli.