Sasa unajionesha ulivyo mdhaifu wa kufikiri.
Hunijui, hujui niko wapi, hujui ninachojua ni nini, lakini unataka kusema hakuna ninachojua ambacho wewe hujui?
Una matatizo ya akili, ndiyo maana nikakuuliza, unajua kujua ni nini?
Umeshindwa kunijibu.
Maana inawezekana kabisa unafikiri kudhani ni kujua, na kwa sababu hiyo, hatuwezi kuelewana.
Kumuita mtu muongo wakati huna ushahidi kwamba ni muongo kunaonesha si tu ujinga wako, bali kunaonesha ulivyokosa decorum ya msingi kabisa.
Ukiwa na uhakika mtu ni muongo, unaonesha uthibitisho kwamba ni muongo.
Unaweza kuthibitisha kwamba mimi ni muongo?
Alwatan,
Kwanza kabisa:
1.Decorum : Behaviour in keeping with good taste and propriety.
Haya sasa,hua ukiwa huna chakujibu unakimbilia viingereza vya kiduwanzi.
Pili,nimekuomba unitajie walao jina la interviewer,au tarehe au mwaka au walao outlet media gani hiyo interview ilifanyika.Hukuweza.
Tatu,nimekuomba walao basi u-attach link ya hiyo interview hapa,hukuweza na huwezi maana huna kwasababu wewe ni MUONGO!
Tatu,najua "kumjua mtu" ninayoifahamu mie ni kumfahamu,hiyo yako kaa nayo wewe.
Nne,nimekuhakikishia,ulichosema ni cha uongo,hakuna any connection kati ya marehemu Guru na bwana Curtis Jackson ya aidha kikazi,ki-beef,kimaongezi,au chochote.Nikakuomba tuweke ushahidi wowote hapa unaosema otherwise.Tafuta hata Google huko utupatie walao hata link tu.Huwezi maana hakuna connection yoyote.
Tano,wewe ni MUONGO,ile posti yako yote ni ya UONGO mtupu maana ulichokisema pale chote hakijawahi kutokea hapa duniani kumhusu marehemu Guru.Hakipo,hakiwahi tokea,hamna chochote,umetunga wewe kwenye ubongo wako dhalili!
Sita,uthibitisho kua ni KWELI ni wewe unatakiwa uutoe kutunyamazisha sisi tunaosema hakuna material yoyote dunia hii yanayoonesha Guru akihojiwa na mwanadamu yoyote duniani kuhusu 50 Cent na yeye katika kitu chochote!
Tuwekee link tu hapa.Au tupe walao moja ya haya yafuatayo:
1.Jina la interviewer
2.Jina la media outlet
3.Tarehe na Mwaka,au Mwaka pekee.
4.Eneo