We gonna no longer sell maize to Kenya! 😒😡

We gonna no longer sell maize to Kenya! 😒😡

That's a blunder in trade liberalization,

Let the farmers decide on type by which they want to sell their crops, only it is incumbent to the government to collect its appropriate tax.
Farmers don't care about which form you need their produces to look like, they care about how much you gonna pay them. Stop talking nonsense.
 
Suala ni kwamba tuuze mahindi yetu nje kulingana na mahitaji ya soko, kama soko linahitaji unga wa mahindi basi tuzalishe unga na kuuza, kama soko linahitaji mahindi kichele (grain maize) basi tuuze.

Mahindi kichele yanayokazi nyingi, mfano, kwa ajili ya kulishia mifugo, kwa ajili ya kupikia makande (magheri kwa lugha ya huko), kutengeneza unga wa dona, kutengeneza unga wa lishe na mwisho kutengeneza sembe.

Sasa unapo wa limit kwamba wanunue sembe, hapo unapunguza soko la mahindi kwa kiasi kikubwa sana na hivyo kuwafanya watafute soko jingine sehemu yoyote duniani, kwani hujui sio Tz pekee tunaolima mahindi!!?,, yatakuja kutudodea tusipoangalia vyema suala hili.
Kaka mbona huelewi?, Africa tunabaki kuwa masikini kwasababu ya kuendelea kuuza bidhaa za mashambani moja kwa moja (raw materials). Hivi dunia inapopiga kelele kuhusu " value addition" wewe hata huelewi maana yake nini?. Tunapozingumzia uchumi wa viwanda lengo ni hilo kaka yangu, ukiruhusu nchi au watu kununua Mali ghafi eti kwasababu ndiyo wanayohitaji, hakuna hata mmoja atakayenunua bidhaa zetu za viwandani.

Bahati nzuri umeekeza faida za mahindi. Tukisaga unga hapa nchini, tutatengeneza ajira katika viwanda vya Kusaga, na katika viwanda vya chakula cha mifugo, pia viwanda vya chakula cha mifugo vitaweza kuuza kwa watanzania kwa bei nafuu kuliko wakiagiza hicho chakula cha mifugo kutoka nje. Tutauza Unga ambao bei yake ni Mara mbili ya bei ya mahindi, tutapata pesa nyingi zaidi.

Kama unasema wanaweza kukataa kwenda kununua nchi zingine, kwani wao ndio wanunuzi pekee?. Kwa taarifa yako, Azam anauza Unga mwingi sana katika nchi za Zambia, Malawi, Zimbabwe na Msumbiji, kuliko anavyouza ktk soko la East Africa, lazima tuendeleze viwanda vya ndani, na viwanda vyetu lazima vitumie Mali ghafi ya ndani ili wakulime wapate bei nzuri ya mazao yao.
 
Ata hizi vitunguu,machungwa hutoka tz ni rich Kenyans wamekomboa mashamba tz huleta back home,,,,hakuna kitu waTZ huleta Kenya...
Wengine wamekomboa hadi DRC
 
GOK have never have will never buy/ sell FLOUR unless it for relief, schools or such like and in such cases, they buy from local millers(Buy kenya build kenya policy).You'll never see GOK flour in shelves unless its subsidized. What government did last time is buy maize at a higher price sell to private sector at a subsidized price on condition that the sell flour to consumers at an agreed price but what they've don't this time to weave duty to traders/millers on maize importation.Let's suppose they agree GOK agrees to buy flour, where and how will they sell that flour?
Tit for tat, if you don't like to buy flour, forget about Tanzanian market for any of your products.
 
Ata hizi vitunguu,machungwa hutoka tz ni rich Kenyans wamekomboa mashamba tz huleta back home,,,,hakuna kitu waTZ huleta Kenya...
Wengine wamekomboa hadi DRC
Hahahaha, nani aliyekuambia kilimo cha vitunguu kinafanywa na watu matajiri?. Kilimo cha Vitunguu kinafanywa na wakulima wa hali ya chini sana, wastani wa mashamba ya Vitunguu kwa kila mkulima ni hekari mbili tu,
 
Point is largescale.
Kilimo halisi ni ya chai,Kahawa,macadamia, maua,etc
Si hizi mahindi za maskini,
Unaapanda eka Mia moja na faida kama ya eka tano ya chai
 
[emoji23][emoji23][emoji23]asee kuwa serious, sasa mbona hamli hayo maua
Point is largescale.
Kilimo halisi ni ya chai,Kahawa,macadamia, maua,etc
Si hizi mahindi za maskini,
Unaapanda eka Mia moja na faida kama ya eka tano ya chai
 
Point is largescale.
Kilimo halisi ni ya chai,Kahawa,macadamia, maua,etc
Si hizi mahindi za maskini,
Unaapanda eka Mia moja na faida kama ya eka tano ya chai
Sasa mbona hiyo large scale ya chai mnashindwa kupata pesa ya kuweza kununua chakula cha kutosha wananchi wenu badala yake wanakufa kwa njaa hadi mnapewa misaada ya chakula toka nchi za nje?.

Ni aibu kwa nchi ambayo zaidi ya 70% ya watu wake ni wakulima lakini hawana uwezo wa kuzalisha chakula cha kutosheleza nchi nzima, badala yake wanategemea chakula kutoka nje ya nchi, sasa huko kijijini wanalima nini?
 
Hivi wewe huwa unatumia akili kweli?. Tayari Kenya na Tanzania waneshaingia mkataba wa kuuziana unga na mahindi, wewe unasema hamuwezi kununua unga Tanzania. Are you mentally OK?
Nani kasaini mkataba huo? We unafikiri unga limited,pembe na makampuni wataagiza unga kutoka Tanzania Halafu wafanye kazi ya distribution? Kwa hili mmefeli .
 
Nani kasaini mkataba huo? We unafikiri unga limited,pembe na makampuni wataagiza unga kutoka Tanzania Halafu wafanye kazi ya distribution? Kwa hili mmefeli .
Basi na ninyi msahau kuuza maziwa na Colgate zenu, mnadhani hatuna viwanda vya maziwa?. Kumbuka kwamba pakitokea vita ya biashara, always you are the one who suffer most, jaribuni kukataa unga wetu muone kitakachotokea, Hukumbuki issue ya Jaguar ilivyomlazimisha Uhuru kwenda Chato bila kupenda?. Tanzania is the one which decides, not You.
 
Mkikataa kuchukua unga na sisi tutakataa kuchukua processed dairy products toka Kenya!

Hio mlikataa kitambo.
Your supermarket milk shelves are empty because you refused to allow Brookside.
Nimeingia Shoppers huko nikatafuta Yorghut nikakosa. Only some exotic expensive brands from Europe.
 
Kaka mbona huelewi?, Africa tunabaki kuwa masikini kwasababu ya kuendelea kuuza bidhaa za mashambani moja kwa moja (raw materials). Hivi dunia inapopiga kelele kuhusu " value addition" wewe hata huelewi maana yake nini?. Tunapozingumzia uchumi wa viwanda lengo ni hilo kaka yangu, ukiruhusu nchi au watu kununua Mali ghafi eti kwasababu ndiyo wanayohitaji, hakuna hata mmoja atakayenunua bidhaa zetu za viwandani.

Bahati nzuri umeekeza faida za mahindi. Tukisaga unga hapa nchini, tutatengeneza ajira katika viwanda vya Kusaga, na katika viwanda vya chakula cha mifugo, pia viwanda vya chakula cha mifugo vitaweza kuuza kwa watanzania kwa bei nafuu kuliko wakiagiza hicho chakula cha mifugo kutoka nje. Tutauza Unga ambao bei yake ni Mara mbili ya bei ya mahindi, tutapata pesa nyingi zaidi.

Kama unasema wanaweza kukataa kwenda kununua nchi zingine, kwani wao ndio wanunuzi pekee?. Kwa taarifa yako, Azam anauza Unga mwingi sana katika nchi za Zambia, Malawi, Zimbabwe na Msumbiji, kuliko anavyouza ktk soko la East Africa, lazima tuendeleze viwanda vya ndani, na viwanda vyetu lazima vitumie Mali ghafi ya ndani ili wakulime wapate bei nzuri ya mazao yao.

Hata sikumaliza kusoma post yako, kwa sababu hujanielewa kabisa ninasema nini, rudi soma vizuri nilichoandika!!.

Au ni hivi; mimi sipingi kuongeza thamani ya mazao, ninachopinga ni kuwalazimisha wateja kununua wasichohitaji, mfano, mtu anahitaji mahindi wewe unamwambia siuzi mahindi nauza unga wa mahindi!!!🤔.

Sasa katika soko huria unatakiwa uwe na bidhaa zote, yaani uwe na mahindi pia uwe na unga wa mahindi (value added product) hapo mteja anakuwa na uhuru wa kununua anachotaka na siyo kumuwekea masharti yanayoweza kukuathiri wewe (nchi) na wakulima pia kwasababu sio wewe pekee unayezalisha mahindi duniani.

Mimi sipingi aslan value addition ya bidhaa ninachopinga ni kulazimisha wateja kununua bidhaa kwa "Masharti".na hiyo ni biashara kichaa ya kutaka kuona mahindi yakiwaozea wakulima kama korosho zinavyowaozea .
 
Hio mlikataa kitambo.
Your supermarket milk shelves are empty because you refused to allow Brookside.
Nimeingia Shoppers huko nikatafuta Yorghut nikakosa. Only some exotic expensive brands from Europe.
Good move as u make it hard for our processed merchandise find its ways in ur shelves! I admire this man Magufuli! Though Uhuru's trip to Chato sought to soften the trade barriers, the realities on the ground r different.

This issue of refusing to let in superior quality n affordable flour from Tanzania reaching ur market will open up a can of worms of protectionism.

The good thing is Zimbabwe, Malawi n Zambia have all expressed willingness to buy our grain stocks so we can dictate terms with Kenya n if objected afford to ignore that market.
 
We will never buy your flour, mark my words.
Basi na ninyi msahau kuuza maziwa na Colgate zenu, mnadhani hatuna viwanda vya maziwa?. Kumbuka kwamba pakitokea vita ya biashara, always you are the one who suffer most, jaribuni kukataa unga wetu muone kitakachotokea, Hukumbuki issue ya Jaguar ilivyomlazimisha Uhuru kwenda Chato bila kupenda?. Tanzania is the one which decides, not You.
 
We will only buy your grains and not flour.
As u make hard our processed merchandise find its ways in ur shelves! I admire this man Magufuli! Though Uhuru's trip to Chato sought to soften the trade barriers. This issue of refusing to let in superior n affordable flour from Tanzania reaching ur market will open up can of worms. The good thing Zimbabwe, Malawi n Zambia have all expressed willingness to buy our grain stocks so we can dictate terms with Kenya.
 
Farmers don't care about which form you need their produces to look like, they care about how much you gonna pay them. Stop talking nonsense.

Wewe ni kilaza, kwani mimi nimesemaje hapo hadi uniite "nonsense"---- nimesema ni hiyari ya wakulima kuuza bidhaa zao katika hali yoyote wanayopenda wao, mfano kama mkulima anataka kuuza mahindi mabichi au mahindi makavu ya mabunzi au mahindi kichele au unga wa mahindi dona au sembe na auze tu.

To whatever form a farmer needs to sell his/her crops let him/her do, kazi ya serikali ni kuchukua mapato tu na kuandaa mazingira mazuri ya wakulima kuuza mazao yao popote.

Sasa hili unalipinga na kunitus i!?!🤔
 
Back
Top Bottom