mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
- Thread starter
-
- #61
My Twende PMKwanza saivi nimeshaachana na mitandao ya kijamii pili nipo busy na kazi ambayo kiufupi imekuwa boraa kuliko ile ya mwanzo
Tatu nimekuwa wife material yani nasumbuliwa kuolewa
Nne sitegemei pesa ya mwanamme saivi
Aliyenibadilisha ni Mshana kiufupi ni mtu mwemaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa, akiichia offer hii impite atakua amekosea sana, kama kweli yupo serious atainyakua fursa hiyo adhimu na adimu bila kupepesa macho wala kutikisa masikio
Nakuja Malkia natamani nikuone live
Muungwana siku zote hasahau alipotoka, hongera kwa kua muungwanaAisee sitaacha kumshukuru huyu mzeee
Alichokipanga kilikuwa kizur sana jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaa nimekufurahishaaa au unanicheka? [emoji4]
Hahaaa.. Huu utani mapanga na sufuria. Khaa!!Msh
Mshana kwa vile unanifahamu nataka kukufanya mshenga ndugu yangu.
Njoo my tutaonana japo mi selengeti ila hauto jutiaMshana alikuwa mpenzi wangu ujue ila tushaachana ndo kanibadilisha huyo ujue sasa hapaaa mtihani kidogo nianze kumuuliza taarifa zako tena sema nn weekend mm nakuja Iringa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fanya ile kitu roho inapenda. Bahati nzuri sikuhizi Tanzania ni ndogo kiila mahali panafikika
Hiyo offer inaitwa Open Chaque, yaani imeshasainiwa halafu wewe unajaza tarakimu tu uende ukai cash bankπππ
Muungwana siku zote hasahau alipotoka, hongera kwa kua muungwana
Nitakuja wangu PMAlafu kama ni kweli mm sna kinyongo pm ipo wazi aje akamatie fursaa aache kuniota anione liveee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi watu wa mpira tunasema kama ni beki ishakatika, kipa kashaenda markiti kabaki yeye na goli, sasa akishindwa kufunga akabutua nje basi huyo si mchezaji bora atundike daluga tu akafanye shughuli nyingine.Alafu kama ni kweli mm sna kinyongo pm ipo wazi aje akamatie fursaa aache kuniota anione liveee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ama kweli achana na mkeo umjue mume mwenzio, hata kama mpo mbalimbali kwa sasa ndio atongozwe mbele ya macho yako basii! Najua utaingiia kilingeni kumshusha mtu bushaπππ
Njoo my tutaonana japo mi selengeti ila hauto jutia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo unabania[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Acha hizoo mm ni ke na nina kitumbua kina joto na harufu yake ya asili[emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app