mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
- Thread starter
-
- #81
Hapo analea urafiki na kwa namna hiyo urafiki utadumu na kudumu na kudumuKabisaa yani sku hizi napata kasms tu kiasi cha tsh kimeingizwa kwenye account inayooishia na 13
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan kweli EX ndio awe mshenga. Hapo unarusha chochote kilichokaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo? Unapotea sana siku hizi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unaweza ukawa na demu mkali lakini unapga nyeto! Maajabu!
wakati ukuta.
Moja angalia mind yangu namna ninavyo jishughulisha na kazi yangu pia pili jaribu kulala nami hata usiku mmoja uone shughuli yake my mi hata usinikimbie urajiuliza kwanini nilikuwa kimya siku zoteKhaaaa una miaka mingapi kama hata 29 hujafikisha kiukweli sitakubali nakukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unabania[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Furaha niliyo nayo leo kitimoto kilo mbili kwa Mtweve
Hapo analea urafiki na kwa namna hiyo urafiki utadumu na kudumu na kudumu
Moja angalia mind yangu namna ninavyo jishughulisha na kazi yangu pia pili jaribu kulala nami hata usiku mmoja uone shughuli yake my mi hata usinikimbie urajiuliza kwanini nilikuwa kimya siku zote
Sawa tu nitaendelea kukitafuna ndotoni hadi utaomba pooo[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio mpaka huo mwezi wa nne! Naona umempangia mbaali sanaπππ
Sawa tu nitaendelea kukitafuna ndotoni hadi utaomba pooo[emoji3][emoji3][emoji3]
Mhh! Naona kuna harufu ya malovee kufa kabda hayajaanza!!!
Mbona za kwangu huzijali..
Ndio mpaka huo mwezi wa nne! Naona umempangia mbaali sanaπππ