We mwanaume usikubali kufilisika kwa ajili ya mke na watoto (family) utakufa na kinyongo

We mwanaume usikubali kufilisika kwa ajili ya mke na watoto (family) utakufa na kinyongo

Shida kubwa ya matatizo ya kiuchumi uzeeni ni:
a) watu wengi kukosa utamaduni wa kusave kwa ajili ya baadaye;
b) kukosa maarifa ya kusave kiusahihi kwa ajili ya uzeeni.

Kupambana na shida hizo mbili kutaleta tofauti.
 
Mzee umejieleza halafu unaanza kuchanganya mafaili. Feminist anaingiaje hapa aisee? Hebu fahamu kwamba kutumza familia haihitaji majadiliano lakini kutunza pesa ya uzeeni au akiba ya emergencies inahitaji majadiliano huwezi kujiita baba huna akili ya kusevu pesa na kuamini kwamba utaishi utazeeka na kuona familia yako ikikua na kumea sasa unamiliki familia ya maana gani kama mwanaume? Usibishan3 kwa kubisha tu kuwa reasonable its a men's talk.
Kwan hujui maana ya feminist? Anataka haki sawa 50 50 na chochote unachoweza anaweza, maana ya baba kwangu ni mtumishi wa familia, mbeba mizigo yote na muamuzi wa mwisho wala sitaki 50 50 mtu anisaidie

Uki spend kuliko uwezo wako huo ni ujinga wako na uzembe wako kutafuta zaidi, matumizi ya majadiliano sijaelewa hapa.. peace baki na 50 zako ✌
 
Look here , unajichanganya sana wewe ndio baba simba siperman , umesoma kote umeona sehemu nimetamka mwanamke achangie? Nimesema hudumia familia lakini chunga sana pesa yako kwa future yako wewe kama mwanaume tena baba suala la feminism umeleta wewe unajipanikisha bure tu brotherman otherwise kama una familia kweli take a men's advice, save your dime for your own better tomorrows. Learn or Perish.
 
20240911_044601.jpg
 
Kama umeamua kutunza familia kwa hiari yako na unajua part yako huwezi kufikiria unalemewa na majukumu ata siku moja, Mwanaume ni provider, security, teacher, care giver, burden carrier na zaidi

Hivi tuta preach vp mwanaume kuwa superior then bitch about majukumu yako?? Ushaona Superman au Batman analalamika maadui wamemzidi wampumzishe kdogo? Mtu yeyote mashuhuri kwenye historia ni mtumishi yani anajitolea kwa faida ya wengine.

Kama huwezi kujitolea kwa ajili ya familia yako usioe acha ku preach ubinafsi hii ni feminism ya kiume sjui tuiitaje.
Mkuu sidhani kama umeelewa mada hamna anae katazwa kuhudumia familia hapana, tunacho sema hata kama uwezo unao usimalize kila kitu kwenye familia yako be modorate, katika bajeti zako ufanye akiba yako utahitaji mda sio mrefu.
 
Nasema hivi.

Ukiona mwanaume analalamika kwamba ana sumbuliwa na ndoa ama mahusiano, basi tambua kwamba mwanamke wako anakuzidi uwezo wa kufikiria na ndio sababu hauwezi ukamuongoza.
Hivyo basi.

Huyo sio mwanamke sahihi kwako.

Kiasili mwanamke anapenda mwanaume aliemzidi uwezo wa kufukiri na mwanaume awe amekaza.
Huu ushauri naona umenipa mwangaza wa maisha. Kwa akili zangu hizi za panzi naona ndoa na mie hatuendani
 
Huu ushauri naona umenipa mwangaza wa maisha. Kwa akili zangu hizi za panzi naona ndoa na mie hatuendani
usikimbie ndoa mkuu na yenyewe ina umuhimu wake katika maisha yako, ila kaa kwenye ndoa kwa uangalifu sanaa hapo hamna mwenzio kuna wakati wewe ndo mada ya familia hiyo wewe ndo kikwazo cha hawa watu, licha ya kua umewahudumia kwa kila jambo wawepo, unafikia wakati una onekana kama adui wao nyumbani wanatamani uondoke waendelee na maisha yao bila wewe, life is very funny.
 
Nilishawaambia wanangu,wakusoma watasoma na kufaulu hasta kama ni kayumba sec.!

Wa kufanya biashara akafanye!wa kulima akalime!

Tusichoshane kabisa nitasomesha atakaefaulu!atakaefeli atafuga kuku kwani cheti ni hela!!?
Mmh mbona umekua mkali mkuu, hao watoto wanahitaji uongozi wako katika maisha haya.
 
Look here , unajichanganya sana wewe ndio baba simba siperman , umesoma kote umeona sehemu nimetamka mwanamke achangie? Nimesema hudumia familia lakini chunga sana pesa yako kwa future yako wewe kama mwanaume tena baba suala la feminism umeleta wewe unajipanikisha bure tu brotherman otherwise kama una familia kweli take a men's advice, save your dime for your own better tomorrows. Learn or Perish.
Inaonekana una shida ya kuoanisha/ ku relate maswala ndo mana natumia superman au simba ila inakua ngumu kwako kung'amua akati rahisi tu

Feminism nime relate ndio na mada kwakua ni movement ya kibinafsi inapinga nature kama mada inavopinga nature Man kujitoa asilimia zote kwa watu wake! nikaona kwamba wanaume hatuwezi kushauriana kuwa wabinafsi au kutoa kwa kiasi kwa family yako kama tunavowasema wanawake daily na kwamba ukiwa mume lazima ukubali mizigo yote ya walio chini yako

Mtu anepanic kwa mijadala ya humu ni mbumbumbu na me sio mbu×3
 
Mkuu sidhani kama umeelewa mada hamna anae katazwa kuhudumia familia hapana, tunacho sema hata kama uwezo unao usimalize kila kitu kwenye familia yako be modorate, katika bajeti zako ufanye akiba yako utahitaji mda sio mrefu.
Mkuu nimeelewa mada ila nachokomalia ni kwamba mwanaume mpaka unaamua kuoa ni kwamba umeamua kubeba majukumu yote! Huo umoderate ndo naona kama ubinafsi maana wanao hawakuomba kuja duniani! Na kwann tutegemee msaada au fadhila za watoto/mkeo badae? Point yangu jitoe 110%

Marehemu mzee wangu siku moja nilizengua katika kunikanya akaniambia "Nimekuleta duniani hapa kwa starehe zangu, ndio mana nahangaika na wewe, ntakupa haki zako zote ndani ya uwezo wangu wala sitegemei uje kunilipa ata senti 5 wee endeleza ujinga tu" Sitasahau hayo maneno.

Ila naheshimu mtazamo wako pia Mkuu 🤝
 
Ila naheshimu mtazamo wako pia Mkuu [emoji1666]
Ni kweli lakini ndoa isiwe adhabu kwa mwanaume fanya kwa kujua kuna maisha nje ya familia yako baada ya kustaafu.......samahani mkuu sitaki unichukulie kua personala nikuulize swali marehemu baba ako alifariki kwa umri gani?
 
Siku hizi tunatupa mapesa mengi kusomesha vijana wakaajiriwe!

Cha ajabu ajira hamna halafu elimu inaendelea kufundisha kuajiriwa !!!

Sasa tufanyaje!!?cheti sio pesa!
Ni kweli mkuu ila elimu ina umuhimu sana nje ya kuajiliwa mimi binafsi sopendi mtoto angu kutosoma advanced level, lengo langu kupanua fikira na uwezo kuchanganua mambo, o leve kwa mtoto wa tanzania anakua bado mdogo sana kuelewa mambo.
 
Huu ni mpango wa mtoa mada,wewe ulioutoa huu ushauri kwake huoni kama ndio unajipendekeza
Mada imewekwa mezan huru kwa yeyote kutoa maoni acha kujipendekeza kwake. Hujajiuliza kwanini yeye kakaa kimya ila wewe unarukaruka kama maharage jikon
 
Back
Top Bottom