We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Wanajukwaa la Sport habar,

Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?

Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?

Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena Captain anaikosesha Team yake ubingwa Imagine Tena Uwanja wa Nyumbani.

Nyie hata Uwanja wa Nyumbani hamna na Match ilikua Away so hata Drop ni sherehe kabisa.

Mda mwingine mjifunze kushukuru Kuna Makosa yanatokea mapema hujui hizo Match zilizobaki Mungu ana mipango gani? ukute Yanga atapoteza Tena mbelen huko hatujui..ukute Mungu kawapa Somo mapema mjifunze nyie mnaanza kutukana je kama kosa angefanya na match zishabaki 2 kama yale ya Gerrad mngefanya aje?
 
Kwani Gerrard role model wake ni " PAUL SCHOLES "
 
Wewe unafikiri angejifunga Kapombe ingekuwa habari kiasi hicho? Sababu ya chuki kubwa kutoka kwa mashabiki ni kutokana na ile kauli ya kutomkubali mchezaji yoyote kutoka simba, hivyo anaonekana msaliti.
 
Isiende mbali mkuu

Mzize kule cobgo alijifunga mashabiki wa simba wakawa wanamcheka

Ile mechi ya stars na DRC

Hao watu wa msimbazi ni kawaida yao

Hiyo ni kawaida tu kwa wapenzi wote. Ile juzi, lile goli alilofungwa Diarra na wale jamaa wa Chunya, kama lingekuwa lina athari kwa Yanga, hapo angewajua Yanga wakoje. Hata huko Simba, kama hilo goli, lisingebadilisha ushindi wa Simba, waalaaa tusingesikia hizi kelele!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wanajukwaa la Sport habar,

Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?

Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?

Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena Captain anaikosesha Team yake ubingwa Imagine Tena Uwanja wa Nyumbani.

Nyie hata Uwanja wa Nyumbani hamna na Match ilikua Away so hata Drop ni sherehe kabisa.

Mda mwingine mjifunze kushukuru Kuna Makosa yanatokea mapema hujui hizo Match zilizobaki Mungu ana mipango gani? ukute Yanga atapoteza Tena mbelen huko hatujui..ukute Mungu kawapa Somo mapema mjifunze nyie mnaanza kutukana je kama kosa angefanya na match zishabaki 2 kama yale ya Gerrad mngefanya aje?
Mashabiki wa makolo ni MAPUMBAVU KABISAA
 
Mbumbumbu hawezi kuelimika mkuu unapoteza muda tatizo linaanzia kwa Ngamia kipini yeye mpira upo upande wake wa kushoto kisebusebu gani kilimfanya aende kati hata dogo alipogeuka tayari alifahamu Ngamia kipini atakua ametanua kushoto ndio maana ule mpira ulipingwa pembeni asingeugusa Ngamia kipini ulikua unaenda njee..
 
Back
Top Bottom