THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Kwani Gerrard role model wake ni " PAUL SCHOLES "Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena Captain anaikosesha Team yake ubingwa Imagine Tena Uwanja wa Nyumbani.
Nyie hata Uwanja wa Nyumbani hamna na Match ilikua Away so hata Drop ni sherehe kabisa.
Mda mwingine mjifunze kushukuru Kuna Makosa yanatokea mapema hujui hizo Match zilizobaki Mungu ana mipango gani? ukute Yanga atapoteza Tena mbelen huko hatujui..ukute Mungu kawapa Somo mapema mjifunze nyie mnaanza kutukana je kama kosa angefanya na match zishabaki 2 kama yale ya Gerrad mngefanya aje?
Sio kweliYani Chasambi hakuna lugha ataongea kwa wanasimba aeleweke
Kumbuka wakipata draw nyingine ndio mbio bye bye
Sema ndio hivo watanzania wengi uelewa na ustaarabu ndio shida kwetu.Yani Chasambi hakuna lugha ataongea kwa wanasimba aeleweke
Kumbuka wakipata draw nyingine ndio mbio bye bye
Mtamlaumu buree dogo.Ksmepewa mihela na engineer, ksnaipends Yanga haka katoto
Sijui kwa nini Mkuu lakini nimejikuta nacheka tu. LolKwani Gerrard role model wake ni " PAUL SCHOLES "
Mshaanza kama kawaida yenu, nae ni binadam anakosea.Ksmepewa mihela na engineer, ksnaipends Yanga haka katoto
Na ndio shughuli imeisha hivyo, aje achome tena kwenye mzizima derbyYani Chasambi hakuna lugha ataongea kwa wanasimba aeleweke
Kumbuka wakipata draw nyingine ndio mbio bye bye
Isiende mbali mkuu
Mzize kule cobgo alijifunga mashabiki wa simba wakawa wanamcheka
Ile mechi ya stars na DRC
Hao watu wa msimbazi ni kawaida yao
Mashabiki wa makolo ni MAPUMBAVU KABISAAWanajukwaa la Sport habar,