Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Kwasasa huwezi Kuingia kwenye Porn Site yeyote bila Kutumia VPN
Asilimia kubwa ya Watu wanalalamika hawawezi Kuaccess Porn site bila VPN

........Tuliozoea Kushinda Pornhub tunapata shida [emoji22]
Bila pornhub Maisha hayaendi kabisa

Nchi imekua ya kiislamu, bado kuleta mahakama lao la ndosijui kazi sijui kadhi watever
 
Namuwaza Ex girlfriend wangu huko aliko anahali gani maana namjua vizuri kwa kuangalia izo video [emoji23]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ndo umeamua kuja kumsema shoga angu huku
 
Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
ehh vpi tena ndo taliban effect au?
 
Naskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Tumehamia telegram, tena huko tunapata zilizorekodiwa Sinza
 
Back
Top Bottom