ahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!mbona hiyo cha mtoto..
wamama inawatokea anafika sehemu anaona kumbe maisha yoote ame sacrifice
kwa jitu lisilo na shukrani.kama amepoteza ujana kwa the wrong person...
unaweza imagin what next....
Tuko pamoja, yaani unavutiwa tu na vitu vya mhusikaGaga huo mvuto inategemea kama ananivutia kwa post zake au ka avatar,nk nk ...
Cha msingi hapa ni kushindana na feelings zako...
Lakini Gaga labda sijaelewa swali maana ukizingatia leo ni Blue monday..
Unajua kuna mtu anaweza kukuvutia mavazi tu si kwamba umempenda
Muonekano wake na si kwamba umempenda..
Kutembea kwake lakini sio kwamba umempenda
Hebu nifafanulie sweetie kuvutiwa kivipi
ili nidadavue
Tuko pamoja, yaani unavutiwa tu na vitu vya mhusika
ila inaishia hivo hakuna la ziada, na ikitokea unam feel kabisa deep inside, ndio una aply the golden rule ya NN
ni vizuri kuzishinda hisia zetu, coz sio kila hisia ndio tuzifatilize, au vipi hapo FL1
Tuko pamoja, yaani unavutiwa tu na vitu vya mhusika
ila inaishia hivo hakuna la ziada, na ikitokea unam feel kabisa deep inside, ndio una aply the golden rule ya NN
ni vizuri kuzishinda hisia zetu, coz sio kila hisia ndio tuzifatilize, au vipi hapo FL1
Hapo sasa Gaga tuko pamoja sana ...maana siko zote inabidi tujitahidi kuzishinda hisia zetu..
Hivi ukimfeel kama NN ndo unaanza kutuma Vi PM
NN nimekuzimia post zako,NN kila nikiona Avatar yako naburudika kusoma Post zako..
NN nae majibu yake
Yaani hata mie nikiona zako ndo basi kabisa ,,hivi mwenzangu uko wapi?
OOh napatikana Buzilayombwe nakuendeleaaaaaaaaaaaaa..
Naomba basi email yako na namba ya simu kama hutajali..te te te
Sipati picha
Hahahaaaaaha please FL1 unajua hatufanyagi hivo tukitaka tuwe noticed, kuna njia nyingi sio ya kwenda direct kwa mhusikaHapo sasa Gaga tuko pamoja sana ...maana siko zote inabidi tujitahidi kuzishinda hisia zetu..
Hivi ukimfeel kama NN ndo unaanza kutuma Vi PM
NN nimekuzimia post zako,NN kila nikiona Avatar yako naburudika kusoma Post zako..
NN nae majibu yake
Yaani hata mie nikiona zako ndo basi kabisa ,,hivi mwenzangu uko wapi?
OOh napatikana Buzilayombwe nakuendeleaaaaaaaaaaaaa..
Naomba basi email yako na namba ya simu kama hutajali..te te te
Sipati picha
Hahahaaaaaha please FL1 unajua hatufanyagi hivo tukitaka tuwe noticed, kuna njia nyingi sio ya kwenda direct kwa mhusika
utu uzima dawa ati bibie
Ashadii naomba nikukabidhi thread yangu nikirudi naomba nipate majibu niyatakayo .
asende....
Hatuwaambii wanaume mbinu zetu........na pia kwa sasa sina mbinu,si windi tena, nisha kushnehiGagarino, waweza kutoa mbinu mbili tatu uzitumiazo wewe?
Wivu unasaidia kuloose weight! scientifically provedWivu huo
Hii sasa mitihani ..mungu nisaidie hiki kikombe kiniepuke kabisa eeh mungu uufunge huu moyo maana uliponipa mme ni wewe ndio ulimchagua awe wa kufa na kuzikana ....Hivi nikianza kuvutiwa na Krolokwin hii si miujiza ........................
Wivu unasaidia kuloose weight! scientifically proved
hehehe kuvutiwa na uporoto au Aspirin ndio miujiza, lakini kuvutiwa na klorokwini ni vere normal kabisa, hata kamwalim kangu ka kemistri kaliwahi kuvutiwa na mimi sku ya mtihani kakanisaidia masuali sita bure bure! majuzi kalinitumia txt kameolewa na fundi baskeli.
Kwanza fafanua ushem wenu kabla kuappolojaiz!Kloro tafadhali mtake radhi my Great Shem ODM...lol... (Ila Uporoto umepatia..after all bado namdai ile one M)
Kwanza fafanua ushem wenu kabla kuappolojaiz!
huyu fellow tablet kaingia anga za Keren Happuch bana ndo maana nachafua CV yake
Halaf fellow tablet haonekani, Lizzy haonekani, hivi hapa magreti thinka tunapata picha gani?Server inayotunza all details ime collapse... mpaka sielewi nini niliongea... Hivo no need ya kuomba Msamaha...lol
Halaf fellow tablet haonekani, Lizzy haonekani, hivi hapa magreti thinka tunapata picha gani?
Dah! huyo michelle kanisababishia nimepoteza kilo nne tangu aondoke! kuna siku nilitaka kujiuwa kwa ajili yake lakini nikakumbuka jehannamu nikahairisha!Umeona eeeeh?? I miss Lizzy... and Michelle...
Samahani nimekosa siku ingine taomba ruhusa kwako mukubwa kwanza
Smile bana! Michelle wenyewe ashaolewaWivuuu nimevimba mashavu tayari