Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu.
Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu.
Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza hasa. Hivyo naomba niwatafute wadada watano wazuri wa humu JF niwape zawadi ya maana hasa. Ya kudumu.
Walio tayari wanijulishe niwape zawadi nzuri. Zawadi ya Mimba. Tutapima na kama wote kiafya tupo vizuri. Nakupa mimba. Usijali kama siku ya kwanza haitashika. Nitakuwa nawe mpaka upate mimba ukihakikisha ndo nitakuachia. Ni zawadi ambayo nitawapa watu special tu. So tuwasiliane kwa ajili hiyo.
Msinishukuru sana. Ni jambo la kawaida kuonesha wema wangu kwenu. So msishukuru mpaka kupitiliza. Duniani kama una kitu share kwa wenzio. So nimeamua niwapatie Mimba bila tatizo. Karibuni.