Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

Nilivyoona kichwa Cha habari kuwa utatoa zawadi kwa wadada, nilitaka kumtag Trudie, ili awe miongoni mwao.

Ila baada ya kujua zawadi ni mimba, sidhani kama atataka hata kukuona. Nimeogopa kumtag 😅😅
😂😂😂😂😂😂
 
Kwa kweli watu kama wewe duniani mpo wachache sana
Nashukuru dada. Mimi huwa sina kinyongo au roho ya uchoyo. Napenda watu wafurahi najisikia amani. Najua mtu akipata mimba yangu atakuwa na furaha maana si zawadi ya mchezo.
 
Back
Top Bottom