Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

Mbona kama unawatisha? Kwamba wakijichanganya imekula kwao??? 😅😅😅

Ila jamaa amesema kuhusu hela Yuko njema sana.
Shuka zakayo uliyeko mtini 🤣🤣🤣🤣
 
Nimejikuta nacheka tu. Sio Kwa ilo jibu 😅😅
Maisha ni kufurahi ndugu yangu😂😂

Tufurahi tu.

Ila trust me kuna mtu kaingia kwenye huu uzi hivi punde aljazeera wataanza kuripoti mabomu makali ya nyuklia kuendelea kutokea urusi na ukraine…wacha tuone
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Utakuwa umemfananisha na mtu mwingine.

Jamaa yuko njema sana kwenye maswala ya hela. Kasema wadada wasione tabu kumcheki PM [emoji28][emoji28]
Anataka wanase kwenye mtego tuu hana lolote. Hao wadada wajiandae kulea wenyewe huku vijembe na madongi juu kila siku. Jamani anauza matunda huyo msimu wa maembe ndio huwa anapata visenti kidogo.
 
Maisha ni kufurahi ndugu yangu😂😂

Tufurahi tu.

Ila trust me kuna mtu kaingia kwenye huu uzi hivi punde aljazeera wataanza kuripoti mabomu makali ya nyuklia kuendelea kutokea urusi na ukraine…wacha tuone
Ngoja nimtag Chizi Maarifa aje. Pengine hiyo siku aliyoonekana anauza matunda, ilikuwa ni script tu ya movie, maana nasikia ni muigizaji 😅
 
Nilivyoona kichwa Cha habari kuwa utatoa zawadi kwa wadada, nilitaka kumtag Trudie, ili awe miongoni mwao.

Ila baada ya kujua zawadi ni mimba, sidhani kama atataka hata kukuona. Nimeogopa kumtag [emoji28][emoji28]
Mwenyewe nilivyoona kichwa cha habari nimefungua haraka, kuona muanzisha mada tuu nikakata tamaa kabla hata sijasoma hiyo zawadi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anataka wanase kwenye mtego tuu hana lolote. Hao wadada wajiandae kulea wenyewe huku vijembe na madongi juu kila siku. Jamani anauza matunda huyo msimu wa maembe ndio huwa anapata visenti kidogo.
Duh, msimu wa maembe si mpaka mwezi wa 12??
Basi wadada wa humu wasije kuyakanyaga 😅
 
Mwenyewe nilivyoona kichwa cha habari nimefungua haraka, kuona muanzisha mada tuu nikakata tamaa kabla hata sijasoma hiyo zawadi [emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅😅
 
Mpime pia afya ya akili ili tupate taifa la watu timamu.
 
Bahati mbaya nimevuka huo utoto miaka mingi, sitafuti mpenzi wala mchumba, mtaani kunanitosha, wafikishie taarifa wote we chizi😂😂
Ungevuka usingekuwa unahangaika na kauli hizo ambazi sisi wengine tulikuwa tunatumia miaka ya 90 kupatia mabinti.
 
Hapana..nilikuwa nachomwa sindano za p2 kwenye mishipa iwahi kufika haraka.

Kwa chai inachelewa kufanya kazi🙃
Kwa hiyo zawadi yangu haitafanikiwa kwako? Haya nisipoteze nanii zangu bure....
 
Back
Top Bottom