Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

Kwahiyo nnijikute tu😁😁Kwa akili za huo mwandiko wako ni bora kumeza kiwanda kizima cha p2
Sasa we si nilisikia hizo P2 toka upo mdogo ndo ulikuwa unanywea chai?
 
Zamani nami nlikuwa na style kama yako kwa mabinti nikagundua siyo wote wanapenda hivyo. Wengi wanapenda wanaume shababy kweli kwel. Hizi mbinu unazotumia kwa JF wadada wengi wameshtukia. Change tactics.
Daah bro.
Unaanzaje kumkashfu binti mwema kiasi hiki?
Acha hizo basi?
 
Kuna wadada watano wa JF wanaenda kuliwa kimasiharaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kula chuma iko
 
Zamani nami nlikuwa na style kama yako kwa mabinti nikagundua siyo wote wanapenda hivyo. Wengi wanapenda wanaume shababy kweli kwel. Hizi mbinu unazotumia kwa JF wadada wengi wameshtukia. Change tactics.
Bahati mbaya nimevuka huo utoto miaka mingi, sitafuti mpenzi wala mchumba, mtaani kunanitosha, wafikishie taarifa wote we chiziπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu, Kajala na mwanawe wanaomba namba yako ya simu
 
Nilivyoona kichwa Cha habari kuwa utatoa zawadi kwa wadada, nilitaka kumtag Trudie, ili awe miongoni mwao.

Ila baada ya kujua zawadi ni mimba, sidhani kama atataka hata kukuona. Nimeogopa kumtag [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo zawadi ngoja niwaachie wadada wenzangu mimi sitaki....ngoja wajichanganye
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo zawadi ngoja niwaachie wadada wenzangu mimi sitaki....ngoja wajichanganye
Mbona kama unawatisha? Kwamba wakijichanganya imekula kwao??? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila jamaa amesema kuhusu hela Yuko njema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…