Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

Kaka mbona unaanza kuniwekea vikwazo vya kimahusiano tena jamani..shikamoo hiyo vipi tena!au unataka niendelee kuwa single 😁😁
Lakini unamkataa chizi maarifa tena hapa hapa live jamvini.
 
mimi nilifikiri zawadi ya vocha niendelee kuperuzi jamii forum
 
Anataka wanase kwenye mtego tuu hana lolote. Hao wadada wajiandae kulea wenyewe huku vijembe na madongi juu kila siku. Jamani anauza matunda huyo msimu wa maembe ndio huwa anapata visenti kidogo.
Daah wewe dada umepasua mfuko wa taka.
Hivi huyu chizi asiye maarifa la wapi lijinga lijinga hivi?
 
Nilivyoona kichwa cha Habari nikaja mbio kutahamaki [emoji15]

Kumbe si simba si yanga!
 
Ungeweka kigezo cha mke wa mtu mwenye kutafuta mbegu kwamba wewe uko available for sperm donation.

Hao wengine huzitegesha makusudi wakiona kuna maslahi kupitia ruzuku ya malezi Na matunzo ya mimba na mtoto.

Sema wengi huwa ni pata potea wanaishia kutekelezwa.
 
Alf tuzae watoto wenye akil kama zako?.
 
Nashukuruni nyie wadada wanne ambao mmewasiliana nami na wawili ambao tayari mchakato umefanyika kwa kurudia rudi mara tatu. Tuanze tu kusubiria matokeo. Kama msipokuwa mmepata basi nitajitahidi nipate muda niwarudie tena. Kwa sasa ngojeni niwamalizie na wenzenu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…