Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Haha kuna siku nilicheka kuna mmama humu akasema mumewe anajishaua kuchepuka anamuangalia tu. Yeye anasafiri sana anakutana na wakaka wanachomekea na hawana vitambi, aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna watu hawataki utani, ukitoka nae anatoka kiroho safi tu alafu anakuchora tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna watu hawataki utani, ukitoka nae anatoka kiroho safi tu alafu anakuchora tu.
Afu wenyewe walivyo na akili ndogo utakuta kabisa linajisifia "mke wangu ameshanizoea, yani hajali tena hata nikichepuka, ananiangalia tu". Basi unaishia tu kumuonea huruma huyu popompo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…