Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Wako wengi saana hao wakina Naima kwa kweli nawaombea FISTULA Daima yaaani
Mume unamkula bado hata akija kwangu inakuuma kweli jamani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyu HEAVEN SENT kweli roho mbayaaaa!

Hiyo mi text yake anavyofunguka as if ndo dadaake Mercy!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa si bora hata dada ake Mercy, utadhani me ndo Mercy nina uchungu na mume
 
Yaaan na hii njia inahitaji busara saana kwa kweli maana sio watu ni mapepo
Unakuta mume kajitahidi kafuta kila kitu na anajua fika yuko nyumbani lakin atapiga tu mxiuuuuuuu
 
Wako wengi saana hao wakina Naima kwa kweli nawaombea FISTULA Daima yaaani
Mume unamkula bado hata akija kwangu inakuuma kweli jamani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaha Cesy umetisha sana, eti fistula lol
 
Hhhaa ukishaitwa ni mchepuko kubaliana na vyote kamwe hawezi lingana sawa na njia kuu ...atafanya ufirauniii wooote kwa mchepuko but still wife ni dhahabu atarudi kwa mkewe tuuu ...mpo hapoo nyie michepukoo[emoji3][emoji3]
 
Yaaan na hii njia inahitaji busara saana kwa kweli maana sio watu ni mapepo
Unakuta mume kajitahidi kafuta kila kitu na anajua fika yuko nyumbani lakin atapiga tu mxiuuuuuuu
Kwa kweli ni mapepo, shida yao kubwa ndoa yako ivunjike period. Na wanaume wenyewe wakujiendekeza hivi, basi tu[emoji35] [emoji35]
 
Hhhaa ukishaitwa ni mchepuko kubaliana na vyote kamwe hawezi lingana sawa na njia kuu ...atafanya ufirauniii wooote kwa mchepuko but still wife ni dhahabu atarudi kwa mkewe tuuu ...mpo hapoo nyie michepukoo[emoji3][emoji3]

Muulize mkewe wa kwanza kama tupo au hatupoo afu muulize na Ex mchepuko Mercy
 
Hahaa si bora hata dada ake Mercy, utadhani me ndo Mercy nina uchungu na mume
Adui mkubwa wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!

Mtu anaambia MOTP kaoa, bado anang'ang'ania, mnataka afanyeje?

It's your own fault ladies!

You should love each other na mlindiane. Hapa ndipo wanaume tunapowazidia!
 
Hivi Mercy kucheat na mzava kulikuwa na tatizo gani? Nikudate wewe mume wa mtu ambaye huwezi kunioa afu atokee mtu anataka kunioa nimuache, kisa nini?

Unatania aisee, naamini haupo serious. Kama alikuwa mwema si angemwambia MOTP kuwa sioni future kwahiyo nina mtu anataka anioe? Kwanini she came clean after she has been caught? That's cheating hakuna justification yoyote hapo
 
Hahahaaaa nakugawa bure kubwa la maadui, unajifanya mke wa mwendokasi sio unamchagulia mume mchepuko.

Jada naye ndio anajifanya hiyo kuwa ni siri ya kudumu kwenye ndoa na Will Smith, kwamba Will huwa ana muomba ruhusa ya kuchepuka na yeye Hana noma anamruhusu. Utakuwa umedesa kwa Jada
 
Adui mkubwa wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!

Mtu anaambia MOTP kaoa, bado anang'ang'ania, mnataka afanyeje?

It's your own fault ladies!

You should love each other na mlindiane. Hapa ndipo wanaume tunapowazidia!
Excuse us. Wewe mwanaume mwenye commitment nije nikulindie commitment yako mimi mchepuko???? Tulia na mkeo huko bana

Wewe usimpende na kumlinda mkeo, mchepuko ndo uje umlinde? Akhuu
 
Unatania aisee, naamini haupo serious. Kama alikuwa mwema si angemwambia MOTP kuwa sioni future kwahiyo nina mtu anataka anioe? Kwanini she came clean after she has been caught? That's cheating hakuna justification yoyote hapo
Teh my daddy anasemaga kama hauna ndoa there is no cheating, ni multiple relationships tu. Anayecheat ni aliye kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…