Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Akwende zake na mbegu zake nzuri, alivyokuwa anachepuka hakujua yatamletea impact hadi kwa Wanae?Mme muombea Man of the people mabayaaaa weeeeeee. Yamempata kweli bado roho zenu hazijaridhikaaa jamani. Khaaaaaaaaaa! Muwe na hurumaaa. Hapo hamjawaona wanae. Mitoto yake mizuriiii hio, to think they may grow up without a family is heart breaking. Mungu atamsimamiaaa peop watamtokaaa. Ila mitoto yake mizuriii acheni masiharaa. Akiiweka tu Dp naiiba picha zao. Hehehee. Unaweza jikuta unaomba mbegu bureee. Heheheeee!
kuokoka vipi
huyu hata akipewa nyama ya tako hataridhika kamweThubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Ameapa mara ngapi kuwa hashobokei tena vitobo????
mmh mkuu hizi tamaa hizi zinatuponza huyu anapepo si buremoney still talking [emoji23][emoji23]
huyu hata akipewa nyama ya tako hataachaMsimamo autoe wapi wakati anapenda papuchi kama nini sijui
Na limeisha....Dude limeendelea
kweli itakuwa ni mapepo...,Hahaa eti nina mapepo niombee jamani. Ila lara, haya bana
Mwambie ajiombeekweli itakuwa ni mapepo...,
Mercy anasaidia maombi!Mwambie ajiombee
story hii imetufundisha nini?Mwambie ajiombee
Yeye ana matatizo gani hadi asijiombee?Mercy anasaidia maombi!