Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Mme muombea Man of the people mabayaaaa weeeeeee. Yamempata kweli bado roho zenu hazijaridhikaaa jamani. Khaaaaaaaaaa! Muwe na hurumaaa. Hapo hamjawaona wanae. Mitoto yake mizuriiii hio, to think they may grow up without a family is heart breaking. Mungu atamsimamiaaa peop watamtokaaa. Ila mitoto yake mizuriii acheni masiharaa. Akiiweka tu Dp naiiba picha zao. Hehehee. Unaweza jikuta unaomba mbegu bureee. Heheheeee!
Akwende zake na mbegu zake nzuri, alivyokuwa anachepuka hakujua yatamletea impact hadi kwa Wanae?
 
nice story but inachefua mpaka wengine wanawish wasiolewe..mwanaume kama una msimamo haswa tena upo ngangari huwezi karibisha mazingira ambayo unajua kabisa yatapelekea vishawishi.
ukiwa na akili zako timamu mwanamke anaomba aje ndani kwako muangalie muvi unadhani nini kitafuatia mkiwa wawili tu?ulijua tangu mwanzo
ukiwa na akili zako timamu unamfungulia mlango wa chumbani na mikono yako we mwenyewe..yanayofuatia unalaum wao ati wanakung'ang'ania!!!!??
 
The end!!!??????????? lara namna gani tenaaaaaaaaaa!!!???

wapi team merccccyyyyyyyy

I'm so happy for mercy..
 
Pole kamanda, hadhi ya uanaume haiishi katika kuwa responsible daddy. Pia kusolve issues nzito kama hii ya man of the people, all best of luck brother.
 
ha ha haaa halooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] eti mume wa mtu asali, tena maziwa ya Asas ! subiri wewe mwenyewe utakuja kutubu soon
 
Mwambie ajiombee
story hii imetufundisha nini?

Wanandoa muheshimiane na muombeane pia, mfunge mmeo/mkeo kwa maombi.

kupiga penalty hovyo kuna madhara makubwa, mwiko kulinganisha kitambi cha mmeo na cha vijana wanaochomekea vzr..., NJIA YA KWENDA KWA MKEMIA MKUU NA IOTE MAJANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom