Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Yaani akipelekwa simiyu na mapambio ataanza kuimba dadeq
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo pa kulinganisha vitambi ni ngumu ujue!! Inatokeaga tu automatic.
 
Kwa kweli that kind of heshima me siitaki. Heshima inayomatter zaidi ni ile ya kumuheshimu mkeo akiwa mbali na wewe period
 
Eeeh wanaume wanapenda sana wanawake kama wewe

Heshima nzuri zaidi ni kubehave when your woman is not around. Sio ukiwa naye unajifanya kumuheshimu, akitoka tu unakuwa public property khaa
Si ndio maana akina motp wapo kila kona, tumewazoesha kuwa cha msingi ni tule,tuvae na tuishi pazuri baaaasi. Sasa unategemea nini? Tutegemee tu kufanyia maombi mapepo hewa huku bwana shetani yuko beach anakunywa tu juice taratiiiibu!
 
Na akipata magonjwa ni wako huyo umuuuuuguze mwisho akufie, kiruuuuuuuu!(wanajisemea wachaga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…