Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Si ndio maana akina motp wapo kila kona, tumewazoesha kuwa cha msingi ni tule,tuvae na tuishi pazuri baaaasi. Sasa unategemea nini? Tutegemee tu kufanyia maombi mapepo hewa huku bwana shetani yuko beach anakunywa tu juice taratiiiibu!
Haha mbona bwana shetani anakunywa juice beach

Sisi victims ndo tushakubaliana na hiyo hali, waache tu watuchepukie
 
Ndo haya nayosema tunaentertain wanaume Kuchepuka as a result mabinti zetu wanakua wakiamini hayo maisha ya uchepukaji ni lazima, so wavumilie tu. It hurtssss

Ngoja nimalizie kulia kidogo[emoji27] [emoji27]
Kuna dada baba yake alikuwaga malaya mbwa, kazaa kila mtaa hadi na house girl wao. Binti alimchukia baba yake na akaona wanaume wote ndio hivyo hivyo. Yaani kaolewa mumewe anakiona cha moto. Yaani hajaliiiiiii, hadi mume huwa anahisi hapendwi full kujistukia.

Waache wajitoe ufahamu tu, wanalalamika ndoa siku hizi sijui zimekuaje, wanasahau chanzo ni wao hivyo watoto wamejifunza kwao, baba anaacha hata mara 6 na kuoa tena, unadhani unamfunza nini mtoto!! Hawezi kuja kuona thamani ya ndoa huyo wala familia. Si umeona motp kaadmit kuwakarithi kutoka kwa baba nae hakuiona thamani ya familia kwahiyo ategemee the same kwa wanae, unless Mungu aingilie kati.
 

Umeshaanza sasa kutema madini yako.
Hizi ndoa ndoano zetu Zinawaathiri zaidi watoto wetu. Mwisho wa siku wanahisi yale maisha waliyoyashuhudia kwa wazazi wao ndo maisha sahihi. Ukutane na mtu wa hivi sasa, utasurrender mwenyewe na moyo mashine yako
 
Hapo ndo na mimi nikashindwa kumuelewa,sasa hivi anasingizia ana pepo...hivi najiulza tu kwa mercy alikosa nini?yule ya kwanza alisema dini tofauti tukamuelewa na kwa mercy je?
 
Mama usiseme hivyo!! Unadhani mashoga wateja wao kina nani? Wengi ni waume za watu, wenyewe si wansemaga! Yaani hawa viumbe ni kama kulinda bahari tu ukilinda huku wenzio wanavua kuleeee. Ni wao wajitambue, kujithamini na kujiwekea mipaka.
 
Kweli kabisaaa, na hawajifunzi hawa biumbe!!
 
Hiyo hatimiliki ya makaratasi wakati watu wanajipatia treatment zaidi yako ya nini sasa!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…