Weekend Story! The Man of the People love triangle!

ha ha haaaa shabashiiii antena haipo hu hu huuu

Cc:lara 1 hongera kwa kipaji dear
 

Katika story zote, hakuna ambayo naikubali hadi leo kama YANGA(Naipenda Yanga) maisha ya uswazi, full vibweka. Nishairudia zaidi ya mara 5 hadi now.

lara 1 hebu fanya utuletee story nyingine ya uswazi asee, tucheke tena. Unawapendelea sana watoto wa kishua wangu.
 
Haaa si kwa kuchelewa kwangu huku.. Haya mama la wamama kubwa la maadui twende kaz
 
HUJAWAHI KUNIBORE!
HAPA NAWEZA NIKAANZA KUZISOMA UPYA ZOTE WEEKEND HII!
NA BADO KUNA MUDA NITAPATA BARIDI TUMBONI LIKE KAMA VILE SIJAWAHI ZISOMA!
 
@lara1 fanya kutupia episodes ndefu ndefu hz fupi unatuachia arosto mbaya.
 
Haha..hapana chezea hela chiu unaloa pichu inajisogeza yenyew..mwendo wa kukojooooa(in mange's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…