Haikuwa rizki wacha niungane na kina Riyama,tollykitchen na mabonge wenzanguSafi jiachie ,ila we unafaa uwe portable fulan hv
Mwambie Hornet aje kwa trainer mimi...atapungua within two weeks na hataliwa [emoji1][emoji1]Kwa wiki ya mwanzo ni kawaida tu misuli inakiwa haijazoea, oxygen debt ndani ya misuli, ila ukikomaa mpaka yale maumivu yaishe mbona unapeta tuu
Mtafute trainer au mtu yeyote wa kufanya nae mazoezi awe anakuhamasisha, akupunguzie uvivu.
Hahaa.. hata mie nililenga wa kike, najua ikikutana me na ke kinachofata ni kwichi kwichi tuuLabda awe wa kike,
Akiwa wa kiume tutaishia kulana tu.
Unakaa wapi?Mwambie Hornet aje kwa trainer mimi...atapungua within two weeks na hataliwa [emoji1][emoji1]
Cc. Hornet
teh !kunafika ukomo...Kujikubali saa nyingine kunagoma.
Kakusikia..Mwambie Hornet aje kwa trainer mimi...atapungua within two weeks na hataliwa [emoji1][emoji1]
Cc. Hornet
Hahahaha, hao siwajui wanafananaje,ila siamini km we bongeHaikuwa rizki wacha niungane na kina Riyama,tollykitchen na mabonge wenzangu
Mbezi tangi bovuUnakaa wapi?
Mi ni me mkuuKakusikia..
Hornet nenda kwa charaxes..
Ila je we ni ke[emoji23] [emoji23] [emoji85]
Mimi naamini hivyo ,kuwa ni modoMwenyewe nilikua najua kamodo fulani hivii
Huu mwaka utakua na matatizo. Mi niliongezeka kilo nyingi sana ndani ya mwezi. Ningekua nimefanya mchezo mbaya ningesema labda nina kamtu. Hapo ndo nikasema wacha nijaribu diet nashukuru kidooogo ikaleta matundaUmekosea mkuu,
Nilikuwa portable miaka ya nyuma,
Baadae nikaanza polepole kufumuka,
Huu mwaka ndiyo umenimaliza kabisa nimekuwa wa duara.
Mbali sanaMbezi tangi bovu
Tatizo lingine kina sisi tukifanya mazoezi tunazidisha kula. Kuna kipindi niliendaga gym kama week mbili nikaacha. Maana nilikua natoka gym narudi home navaa naenda kunywa pombe nikaona napoteza tu muda wanguKwa wiki ya mwanzo ni kawaida tu misuli inakiwa haijazoea, oxygen debt ndani ya misuli, ila ukikomaa mpaka yale maumivu yaishe mbona unapeta tuu
Mtafute trainer au mtu yeyote wa kufanya nae mazoezi awe anakuhamasisha, akupunguzie uvivu.
Kama ni mfupi hamna tatizoMi ni me mkuu
Mi ni tall kama Kagame mkuuKama ni mfupi hamna tatizo
Kimbiza vichuguu hivyoMbali sana
Mi nakaa Kimara Mwisho.
Halafu huku hamna hata mazingira rafiki ya kufanya jogging...
Unapenda wafupi?Kama ni mfupi hamna tatizo