Weekend

Weekend

Kwa wiki ya mwanzo ni kawaida tu misuli inakiwa haijazoea, oxygen debt ndani ya misuli, ila ukikomaa mpaka yale maumivu yaishe mbona unapeta tuu

Mtafute trainer au mtu yeyote wa kufanya nae mazoezi awe anakuhamasisha, akupunguzie uvivu.
Mwambie Hornet aje kwa trainer mimi...atapungua within two weeks na hataliwa [emoji1][emoji1]
Cc. Hornet
 
Umekosea mkuu,
Nilikuwa portable miaka ya nyuma,
Baadae nikaanza polepole kufumuka,
Huu mwaka ndiyo umenimaliza kabisa nimekuwa wa duara.
Huu mwaka utakua na matatizo. Mi niliongezeka kilo nyingi sana ndani ya mwezi. Ningekua nimefanya mchezo mbaya ningesema labda nina kamtu. Hapo ndo nikasema wacha nijaribu diet nashukuru kidooogo ikaleta matunda
 
Kwa wiki ya mwanzo ni kawaida tu misuli inakiwa haijazoea, oxygen debt ndani ya misuli, ila ukikomaa mpaka yale maumivu yaishe mbona unapeta tuu

Mtafute trainer au mtu yeyote wa kufanya nae mazoezi awe anakuhamasisha, akupunguzie uvivu.
Tatizo lingine kina sisi tukifanya mazoezi tunazidisha kula. Kuna kipindi niliendaga gym kama week mbili nikaacha. Maana nilikua natoka gym narudi home navaa naenda kunywa pombe nikaona napoteza tu muda wangu
 
Back
Top Bottom