Weekend

Duh!! Pole mpendwa 97kg ni nyingi mnoo. Mazoezi huwez shindwa ila umeshindwa kuvumilia mazoezi.

Ila kama umeridhika na hali hiyo its fine.
Ingekuwa tunaishi karibu sasa hiv atleast ungekuwa umepungua.
Umenitamanisha niishi karibu na wewe labda na mimi nitapungua.
 
Mi mwenyewe nilijua ni mimba,nikapima nikachoka

Nimejaribu ya mbogamboga nikashindwa kabisa,

Yaani nikikaa hivi napata hamu ya nyama hatari, mchana sili zaidi ya juice au matunda,usiku sasa !!!!
Mi usiku najitahidi kuacha. Nikirudi nyumbani muda wa mtoto kula naenda kujifungua chumbani mpaka amalize kula nisije tamani kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…