Weekend

Hahhahahah Putin ulikuwa hutaki kabisa mazoea anayokuletea ya ukaka ukaka huo vipiiiii
 
Kwanini binti mzuri kama wewe unafanya hivi??
Kama unatumia njia ya maswali km haya huwezi kuja kutongoza ukampata mwanamke.

Asili ya mwanadamu nikutokua na uhuru pale anapoulizwa swali na anakuona km unajaribu kumshambulia .

Sasa km unabisha , muulize demu yoyote ... Wewe kabila gan ?? Akikujibu dierect shukuru.

Bora ungenisifia kidogo kwanza ...ushafel aseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…