Weekend

Weekend

Hahhahahah Putin ulikuwa hutaki kabisa mazoea anayokuletea ya ukaka ukaka huo vipiiiii
Kweli kabisa huoo ukaka ndo nilikua naupinga kwa nguvu nasikutaka anizoee kiukaka kaka.

Ujue nyie wanawake ,mwanamme akikufata kiurafiki naww unamchuku kirafiki ,,akija kiudada nakaka naww unamchukua ivoivo.akija kiubaby baby ndo naww unamkubalia kua baby

Sasa huwa nakua makin sana kwenye iyo hatua .

Ila weee naye ,inaonekana wanawake wenzako wanakuonea wivu sana when they stare at you
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wananionea wivu wapambane tu na hali zao me nawadharauuuuuuuu
 
Nimekuelewa mnooo ndio mana huwa nampa makavu yake dharau watu ukiona anakusema au vipii achana naye endelea na mambo zako
Safi thana , aina ya iman yako ,inanikumbusha mbali mchaga mmoja , alikua ananibusu public na anakuambia mimi siwajali wala nn.

Ila ww umemzidi kitu kimoja tu.
 
Back
Top Bottom