DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Futa kauli yako ile yenye ukorofi rafiki yanguUkisikia ndoa ya watu inavunjika ndo leo[emoji23] [emoji23] ee baba nifundishe kunyamaza[emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa kauli yako ile yenye ukorofi rafiki yanguUkisikia ndoa ya watu inavunjika ndo leo[emoji23] [emoji23] ee baba nifundishe kunyamaza[emoji125]
Nyie endeleen tuKwanini binti mzuri kama wewe unafanya hivi??
Mwepuke kabisa atakugeuza mwanamkeNashukuru umenisaidia asee.nilikuwa nasikia story tu za kugandiana ngoja nikae nae mita 100 kama kituo cha kupigia kura
HaahahhahAfrican chemistry haijawahi kushindwa
Ongeza ziwe mita 200Nashukuru umenisaidia asee.nilikuwa nasikia story tu za kugandiana ngoja nikae nae mita 100 kama kituo cha kupigia kura
Naona unataka kuua undugu wetu. Sio vizur shemHapana ujue mzigua ndugu yetu ebu tuambie ili tujue mapungufu ya shem
Kweli kabisa huoo ukaka ndo nilikua naupinga kwa nguvu nasikutaka anizoee kiukaka kaka.Hahhahahah Putin ulikuwa hutaki kabisa mazoea anayokuletea ya ukaka ukaka huo vipiiiii
Muache awashe motoMkuu
[emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]Mwanamke aina ya Mzegua Mwili wake unapaswa kuabudiwa kila mahali.
Mioyo yao ni yawastan haitaji huzun ndomaana kila siku namwambia kwa ajili ya Afya yako nilazima muda wote ufurahi na usichukie.
Hapana shem undugu haufi kabisa tunataka tujue tu usiogope undugu haufiNaona unataka kuua undugu wetu. Sio vizur shem
Huko kwenye utapeli wa pesa mimi sipoNi mwanamke huyo bhana..na account yake nyingine naijua na mbaya zaidi amenitaperi pesa alisema anadaiwa ada..tulikuwa wapenzi
Ohoo basi ngoja nizime simu nilale mkuu.kugeuzwa mwanamke ni hatari tupu.yaani umeniogopesha imebidi nitoe mashine niiangalie kwanza kama ipo.ucku mwema wooteMwepuke kabisa atakugeuza mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wananionea wivu wapambane tu na hali zao me nawadharauuuuuuuuKweli kabisa huoo ukaka ndo nilikua naupinga kwa nguvu nasikutaka anizoee kiukaka kaka.
Ujue nyie wanawake ,mwanamme akikufata kiurafiki naww unamchuku kirafiki ,,akija kiudada nakaka naww unamchukua ivoivo.akija kiubaby baby ndo naww unamkubalia kua baby
Sasa huwa nakua makin sana kwenye iyo hatua .
Ila weee naye ,inaonekana wanawake wenzako wanakuonea wivu sana when they stare at you
Sawa ngoja ninywe maji mengi pressure ishuke. Nlianza kuhisi namkosoa mtoto wa kitanga hivoHapana shem undugu haufi kabisa tunataka tujue tu usiogope undugu haufi
Hapana shem uzi utaharibika unaweza hata fungwaMuache awashe moto
Safi thana , aina ya iman yako ,inanikumbusha mbali mchaga mmoja , alikua ananibusu public na anakuambia mimi siwajali wala nn.Nimekuelewa mnooo ndio mana huwa nampa makavu yake dharau watu ukiona anakusema au vipii achana naye endelea na mambo zako