Uhakika tarehe 22 ila sasa mziki wake, usiombe bado upo nyumba za kupanga, watoto wanasoma, nyumbani jamii inakutegemea.... mwezi July naenda kujilipua mkopo nimalizie kibanda changu