Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Bwana umetukosa. Kama unamtafuta gf wako humu unataka ujue ID yake umefail.Wana jf changamkieni fursa ajira zipo wekeni cv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana umetukosa. Kama unamtafuta gf wako humu unataka ujue ID yake umefail.Wana jf changamkieni fursa ajira zipo wekeni cv
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] hata mbinu za ushawishi hana, kama ndo boss mwenyewe huyu aisee hatari tupu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yeye hataki kuitumia
labda [emoji1]Labda ana kampuni ya kutafutia watu kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana huko mtaani hakuna waohitaji ajira mpaka aje huku jf alaf yeye ya kwake anaikatalia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] hata mbinu za ushawishi hana, kama ndo boss mwenyewe huyu aisee hatari tupu.
Unataka watu wa profession gani?Ndio mi ni rais wa kampuni yangu natafuta watu ni waajiri
Wanaomba email adress yakoAsante
Wataarifu ndugu na majirani zako wachangamkie fursa ya ajira
duuh! hebu kuwa serious[emoji23]Asante
Wataarifu ndugu na majirani zako wachangamkie fursa ya ajira
.....mbatataWe kweli kiazi
hapo sasa....[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana huko mtaani hakuna waohitaji ajira mpaka aje huku jf alaf yeye ya kwake anaikatalia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu majembe, mbegu N. KNa sie ambao tunaopenda kulima tutume nini?