Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Safi sana bonge la topic daah sijui uluwazaje mwamba kuja na hii ishu
 
Chukua karafuu kijiko 1 cha chakula. Chemsha kwa maji lita 1 kisha unakunywa kikombe kama cha kahawa 1 Kila SIKU kwa SIKU 7. Au mils 20 yaani vile vipimio vya dawa ya Maji ( Syrup) Viwili kutwa mara 1
Shukrani
ntarudi kwa mrejesho
 
Atatapika nusu kufa?
 
Paka mavi ya ng'ombe yale mabichi yalitolewa na ng'ombe muda mfupi tu eneo husika kisha vaa kitu cha kuzuia kama kofia zile za kike lala asubuhi koga endelea na kazi zako utaona mabadiliko
Sema kweli mkuu? Hivi ni vile vya kuzaliwa au kipara chochote?
 
Mama mbavu zangu mie🤣😂😂😂
 
Eucalyptus[Mlingoti haswa ule mweupe] - naitumia mara kwa mara kutibu kikohozi.

Unachemsha majani yake unapiga ⅓kikombe kutwa mara3.
 
Tumeric. Binzari. Manjano.
Inatibu kidonda
 
Nahitaji mtu anisadie ndugu yangu aiache pombe Jamani nisaidieni
Mchanganyie maziwa ya nguruwe kwenye pombe. Angalizo Hy pombe iwe bia na SI vinginevyo. Hakikisha umeandaa uji mwepesi wamoto... maana atatapika na kuharisha unaweza ukafikiri anakufa. Hiyo harufu atakayoisikia kwenye pombe🤣🤣🤣 Kila akigusa pombe atatapika hvy ataamua kuachana nayo tu.
 
Kuna jamaa mmoja wa mtaani kwetu akipiga adhana bar mke na ndugu wote wakamtenga, 🤣🤣🤣 sasa hv hataki kusikia pombe, nahisi alipewa Hy dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…