Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Aisee[emoji16][emoji16] Kwa hiyo na wewe mdada mzuri hivi unasumbuliwa na tatizo la mavi magumu! Kweli dunia haina hurumaMavi magumu dawa yake papai liloivaa sana
Papai ni kiboko ya bawasiri
Pole sana mkuu kwa tatizo lako la kuozesha godoroHii unatumiaje? Kuna dogo anashida hii.
Kuna mtu anaenda kuangukia pua huko PM kwako[emoji16][emoji16]Uko mkoa gn ndgu naweza kukusaidia
Jaribu kumchanganyia majani ya Aluvini kwenye chai ya moto, akinywa bia hata kijiko kimoja atahisi kichefuchefu na kutapika. Akinywa pombe tena NJOO UNIUE, NIMEKAA PALEPombe nahisi dawa yake hamna
Hapana mkuu huyu yeye anakaa maeneo ya mji mwema kule juu wanapaita genge la emma hapo n mtu mzima tu kifup n bibiMkuu huyo MTU ndio yule anaefanya biashara yamazao sokoni?!
asante sana boss, so baada ya kuswaki c naweza kusukutua tu na maji ya kawaida
Pole mkuu chukua majan ya mparachch,mchaichai,na majan ya mashika nguo kama utayapata ukikosa hayo mashka nguo tumia hiyo aina 2 tu chemsha mengi weka hta kwa kigeren k1. Kunywa hyo 1×3 utaona maajab yake ,na ukikosa hivyo tumia maganda ya mananasi hasa yale ya kitenge hivi unachemsha yale unakuwa unaknywaNaomba kujuzwa tiba mbadala ya homa ya manjano yani full mwili kuchoka viungo kuuma na kukojoa mkojo njano tupu
Mizizi ya mnazi unachemsha unakunywa
Hapana mkuu sema nitaka nimpe nmba ya mwenye dawa yupo pale mwanza ni mbibi tu wa makamo mi kasaidia ndgu zang weng sna akiwemo babang mzaziKuna mtu anaenda kuangukia pua huko PM kwako[emoji16][emoji16]
Akilewa mvue suruali yake mpasulie yai bichi matakoni halafu mvalishe.Akiamka atajuwa alifirwa ataacha kabisa kulewa.Nahitaji mtu anisadie ndugu yangu aiache pombe Jamani nisaidieni
Hapana ipo, ila umwekee kipindi hafahamu nenda kwenye banda la kuku kama unafagia chukua baadhi ya kinyesi cha kuku kilichokauka vizuri kisage kiwe unga kirainike hasa kisha muwekee kwenye bia anayokunywa ila hakikisha hajui baada ya hapo atatapika sana na kuichukia harufu yyte ya pombePombe nahisi dawa yake hamna
Pendelea kula tende kwa wingiMimi naombeni nisaidieni mtu anayejua dawa ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke sijui ndo kuongeza nguvu za kike
Paka mavi ya ng'ombe yale mabichi yalitolewa na ng'ombe muda mfupi tu eneo husika kisha vaa kitu cha kuzuia kama kofia zile za kike lala asubuhi koga endelea na kazi zako utaona mabadilikoDawa ya kuondoa kipara
kwa kutibu nini sasa hujasema loloteMlonge ndo dawa yangu Bora zaidi duniani
haipaswi kuwa binafsi share hapa kwa faida ya wote please be helpful to allUtanichek ukipata muda mkuu
majani yake, mwenye kuyataka aje inbox na atatuma address ya alipo ntamsafirishia kwa basi bure bila malipoSongwa ndo zipi
Asante sana mkuu maana ishanitesa sana yani nakosa raha muda wote viungo vinauma tuPole mkuu chukua majan ya mparachch,mchaichai,na majan ya mashika nguo kama utayapata ukikosa hayo mashka nguo tumia hiyo aina 2 tu chemsha mengi weka hta kwa kigeren k1. Kunywa hyo 1×3 utaona maajab yake ,na ukikosa hivyo tumia maganda ya mananasi hasa yale ya kitenge hivi unachemsha yale unakuwa unaknywa