Ni kung'oa tu mkuu no way out usidanganyike la kama unataka kulala vizur weka vumbi la mkongo utalala safi snaaJamani naombeni msaada wa dawa wa jino linauma balaa aseeeee jana hadi kula nimeshindwa
Ngoja waje wenye upungufu wa nguvu za kiume jiandaeMuhimu: Uzi huu hauhusishi matatizo ya nguvu za kiume, tayari kuna uzi wake maalum jukwaa la mapenzi
Huu ni uzi spesho wa mirejesho yetu tuliowahi kutumia tiba asili na zikatusaidia, yaani sisi ndio tuwe mashuhuda sio kukopi ma kupesti humu.
1. Nilikuwa nakula samaki ghafla kimfupa kikanikomea kwenye koo, nilijaribu kukohoa kwa nguvu lakini wapi, kuna rafiki yangu alikuwa mtu wa kanda ya ziwa akanipikia ugali mgumu, niliambiwa nipige tonge zile kubwa bila mboga yoyote, Tonge la kwanza tu mfupa ukateremka nikabaki nashangaa na nilimshukuru sana, nilikuwa nimepanga niende hospitali ila rafiki alinisaidia.
2. Funza kwenye kidole anaesababisha kidole kivimbe na maumivu makali, maumivu yalikuwa makali sana, nilienda hospitalini wakaniambia kucha itolewe, niliwaambia hakuna tatizo ntakuja, ulifikiri nilienda !! nikiwa natafta njia mbadala nikaambiwa na dada flan kaishi bush utotoni kwamba dawa ni kuvaa ndulele / turatura / ndura / nyanya pori, yaani unaichuma unaikata juu na chini iwe kama pete alafu unaivaa iishie ile sehemu yenye mdudu, ule utomvu ni sumu kwa mdudu yule, yaani ukiivaaa atahangaika sana mpaka afe ila nawe mda huo chamoto utakiona, akifa maumivu yanaisha na kidole kinakuwa na usaha, unakitoboa huhisi maumivu yoyote yale, unakamua usaha wote.
3. Kwikwi - hii dawa yake ni kunywa maji, ama upate uwoga mfano utishiwe umeiba kitu, kuna nyingine ni sugu sijajua wanatibu vipi.
...Umegombana na Mama mmoja Miaka nane Sasa, ila amlimtibu Mkeo tatizo la Pombe ?? Au Mimi sijaelewa ??Zipo ila ninayoijua mimi sita mshauri mtu, nilimegombana na mama mmoja mwaka wa 8 huu baada ya kutafutia dawa ampe mkewe, hiyo ni kiboko.
...Sema Inaelekea Jamaa Hata angesema Yuko Mbeya na wewe Ghafla Mbibi wako Angekuwa Mbeya ! [emoji846]..Hapana mkuu sema nitaka nimpe nmba ya mwenye dawa yupo pale mwanza ni mbibi tu wa makamo mi kasaidia ndgu zang weng sna akiwemo babang mzazi
Unapaka utomvu wake likiwa bichi kwa bawasiri lako kama mafutaMavi magumu dawa yake papai liloivaa sana
Papai ni kiboko ya bawasiri
Aisee hii inatumikaje?
Tafuta Star Anise waswahili wanaitwa 'Star anisi' na karafuu chemsha maji yake unasukutua mara kadhaa kwa siku au ukisikia maumivu.Jamani naombeni msaada wa dawa wa jino linauma balaa aseeeee jana hadi kula nimeshindwa
Mumewe sorry...Umegombana na Mama mmoja Miaka nane Sasa, ila amlimtibu Mkeo tatizo la Pombe ?? Au Mimi sijaelewa ??
Muhimu: Uzi huu hauhusishi matatizo ya nguvu za kiume, tayari kuna uzi wake maalum jukwaa la mapenzi
Huu ni uzi spesho wa mirejesho yetu tuliowahi kutumia tiba asili na zikatusaidia, yaani sisi ndio tuwe mashuhuda sio kukopi ma kupesti humu.
1. Nilikuwa nakula samaki ghafla kimfupa kikanikomea kwenye koo, nilijaribu kukohoa kwa nguvu lakini wapi, kuna rafiki yangu alikuwa mtu wa kanda ya ziwa akanipikia ugali mgumu, niliambiwa nipige tonge zile kubwa bila mboga yoyote, Tonge la kwanza tu mfupa ukateremka nikabaki nashangaa na nilimshukuru sana, nilikuwa nimepanga niende hospitali ila rafiki alinisaidia.
2. Funza kwenye kidole anaesababisha kidole kivimbe na maumivu makali, maumivu yalikuwa makali sana, nilienda hospitalini wakaniambia kucha itolewe, niliwaambia hakuna tatizo ntakuja, ulifikiri nilienda !! nikiwa natafta njia mbadala nikaambiwa na dada flan kaishi bush utotoni kwamba dawa ni kuvaa ndulele / turatura / ndura / nyanya pori, yaani unaichuma unaikata juu na chini iwe kama pete alafu unaivaa iishie ile sehemu yenye mdudu, ule utomvu ni sumu kwa mdudu yule, yaani ukiivaaa atahangaika sana mpaka afe ila nawe mda huo chamoto utakiona, akifa maumivu yanaisha na kidole kinakuwa na usaha, unakitoboa huhisi maumivu yoyote yale, unakamua usaha wote.
3. Kwikwi - hii dawa yake ni kunywa maji, ama upate uwoga mfano utishiwe umeiba kitu, kuna nyingine ni sugu sijajua wanatibu vipi.
wakileta ushuhuda wale wa U. I. T sugu
Hii kunywa bia creti 2 mchanganyiko maji kubwa 4
Ni ipi dawa ya genital warts ndugu zangu
Usisahau na nyama ya kitimoto iliyonona. Kula finyango kama 10 tu na tatizo litakuwa historia.Mkuu kuna time natoaga chozi chooni. Ahsante ngoja nikajaribu
KWA mee kwa kee? mkuuTiba ya Matatizo ya homoni msaada
Dawa ya jino mkuu ni kulitoa tu, jino balaaJamani naombeni msaada wa dawa wa jino linauma balaa aseeeee jana hadi kula nimeshindwa
KeKWA mee kwa kee? mkuu