hahaaaa!uwieeee!nijiondokee mie!Wanaondika ma thread marefu kama kitabu au hadithi za shigongo wana nikera na ndio kero yangu. Bakora na fimbo chapa hao
Nb: ukishindwa kuelezea kitu kwa ufupi na kikaelewa, inamaanisha hujaelewa kitu.
hahaaaa!uwieeee!nijiondokee mie!
ah ah ah ah! Hua wana nikera kitu cha kuandika kwa maneno 20 mtu anaandika maneno 200 kha!
haya bana mi sikuwezi
wanawadis wenzao kwny mtandao-fimbo chapa!
Wanaondika ma thread marefu kama kitabu au hadithi za shigongo wana nikera na ndio kero yangu. Bakora na fimbo chapa hao