yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Inategemea na mwanamke. Mwingine atakusaidia tu kwa njia yoyote inayofaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha huyo sijui ni ma mdogo, huku boss, huku ni sista basi shida tupu. My kaka likija suala la kuhimili sex, wanawake na wanaume tunatofautiana sanaaaa. Nimeshajibu swali lako hapo teh
Hahaha ndo maana hata wewe mwenyewe huelewi imekuwaje ukawa mama kijacho teh tehMie nina miaka 45 na sijawahi na niko fresh kabisa.
Hahaha ndo maana hata wewe mwenyewe huelewi imekuwaje ukawa mama kijacho teh teh
inaonekana unatujua sanaBora wengine mnasema ukweli ,Kuna mwingine atajifanya eeee naweza kumbe haliwezii
Hahaha na kweli, na daddy angu alivyo mtunduYaani booonge la suprise, itakuwa baba yako aliniwekea kwenye maji nikanywa, teh teh teh!
Ndio unaweza kuvumilia, je Kwa mfano tu Ni operation au ugonjwa gani huo??
Binamu nimekumiss jamani, nimekumbuka enzi zile kwa sintah za watu kuleta mahaba ya askari na nesi. Binamu geniveros yuko wapi jamaniBora wengine mnasema ukweli ,Kuna mwingine atajifanya eeee naweza kumbe haliwezii
Hahaha na kweli, na daddy angu alivyo mtundu
Sio mzuri kweli, Nasubiri kwa hamu siku yako ya kumtapika mdogo anguDady yako sio mtu mzuri kabisaaaa!
Inawezekana kabisakwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Inawezekana kabisa
Sio mzuri kweli, Nasubiri kwa hamu siku yako ya kumtapika mdogo angu
Hahaha yani kipindi kile nilikuwa nacheka peke angu hadi nikataka kuwa kama taahira. Kuna watu walikuwa wanatoa majibu mule + visa vyao vya mapenzi me ni kucheka tu. Uje huku uwakute dina na warumi. Vichambo vinawakolea hadi mtu anajiquote kujichamba yeye mwenyewe hahhahahahWachaweee! wazee wa maubuyu ya town, geniveros kapotea mnooo sijui kafichwa na nani jamani, sijamtia machoni kitambo.
Eeh maana si ulimnywa kwenye majiHahahahaaaaa!! Mbona kumtapika!!
HahhaahaaaaMmmmh kalumanzila!!