Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado bilabila aseeLeteni mrejesho wakuu. Mana jf inatoaga Imani mwanzoni kama hujaizoea. wenye ajira zao wapi humu ila wengi mara ya mwisho kuingia hapa ilikuwa mwezi wa pili mwaka Jana.
Aliyewahi kupata kupitia Uzi huu aseme
Bachelor of Science in ICT mediated content developmentHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
1. Usajili wa Kampuni
2. Usajili wa Majina ya Biashara
3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018.
4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali.
5. Kufanya Filling ya Annual Return za Brela.
6. Ushauri wa kikodi, upatikanaji wa TIN za Biashara, Tax Clearance n.k
7. Makadirio ya Kodi na Hesabu za TRA
8. Usajili katika mfumo mpya wa manunuzi NeST, uandaaji wa tenda na submission.
Contact: +255784856377
+255676404393
Email: jackbenkiyeyeu@gmail.com
Status:Job seeker or internship
Education😀egree
Professional: Accounting and finance
Gender: MALE
Location: Arusha
Contact: adrianadrian2716@gmail.com
Profession... ACCOUNTANT
EDUCATION...BCOM FINANCE
EXPERIENCE..4 years
Gender..male
Location ..dar es salaam
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Status:INTERNSHIP/JOB SEEKER
Profession :ACCOUNTANT
Education : barchelor degree in accounting and finance in business sector
Experience : fresh graduate
Location: mbeya mjini
Gender : male
Highest level of Education: Bachelor Degree
Profession: Accounting and Finance
Experience: 6 years
Industries worked: Transportation and Financial institutions
Current location: Kilimanjaro
Ready to be allocated anywhere
Education: Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
Experience: 3 Years. 2 yeas Working As Assistant Road Licensing and Monitoring Officer ( LATRA)
One Year, Working as Transport Officer.
Additional on that. I also Posses Certificate of Proficiency in Insurance, And Valid Driving License with Class D. Napenda kufanya kazi na kupenda ninachofanya
SiaminiStatus: Job seeker
professional: Security guard/Jeshi la Akiba
Education Level: Standard Seven
Experience: 45 years
Gender: Male
Age: 72 Years
Location: Ushoto Tanga.
Contact: tatemkuu@gmail.com.
Umenifanya nicheke mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Status: Job seeker
professional: Security guard/Jeshi la Akiba
Education Level: Standard Seven
Experience: 45 years
Gender: Male
Age: 72 Years
Location: Ushoto Tanga.
Contact: tatemkuu@gmail.com.