Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Bachelor of Science in ICT mediated content development

Yani nina tengeneza content mbalimbali mfano graphics, 3D, video production.
 
Status: Job seeker

Education level: Ordinary diploma in medical laboratory technology.

Profession: Medical laboratory technologist

Licence: Not licenced by HLPC

Experience: Entry level

Gender: Male

Location: Arusha

E-mail: gody4694@gmail.com
 
1. Usajili wa Kampuni
2. Usajili wa Majina ya Biashara
3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018.
4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali.
5. Kufanya Filling ya Annual Return za Brela.
6. Ushauri wa kikodi, upatikanaji wa TIN za Biashara, Tax Clearance n.k
7. Makadirio ya Kodi na Hesabu za TRA
8. Usajili katika mfumo mpya wa manunuzi NeST, uandaaji wa tenda na submission.

Contact: +255784856377
+255676404393
Email: jackbenkiyeyeu@gmail.com

Tuwasiliane 0628035342
 
Highest level of Education: Bachelor Degree
Profession: Accounting and Finance
Experience: 6 years
Industries worked: Transportation and Financial institutions
Current location: Kilimanjaro
Ready to be allocated anywhere

Tuwasiliane 0628035342
 
Status: Job seeker
professional: Security guard/Jeshi la Akiba
Education Level: Standard Seven
Experience: 45 years
Gender: Male
Age: 72 Years
Location: Ushoto Tanga.

Contact: tatemkuu@gmail.com.
 
Certificate of proficiency in insurance ua naona wanahitajika sana
Education: Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
Experience: 3 Years. 2 yeas Working As Assistant Road Licensing and Monitoring Officer ( LATRA)
One Year, Working as Transport Officer.

Additional on that. I also Posses Certificate of Proficiency in Insurance, And Valid Driving License with Class D. Napenda kufanya kazi na kupenda ninachofanya
 
STATUS: JOB SEEKER.


PROFESSION: TUTOR.


EDUCATION: BACHELOR OF EDUCATION IN ADULT AND COMMUNITY EDUCATION.


EXPERIENCE: SIX MONTHS.


PHONE NO_:0756166405


CURRENT ADDRESS: DAR-ES-SALAAM.
 
STATUS: JOB SEEKER
PROFESSIONAL:STATISTICIAN
EDUCATIONAL LEVEL: DIPLOMA
LOCATION😀AR ES SALAAM
 
Back
Top Bottom