Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Kama wao ndio waucheza huo Muziki na wana mbinu mbadala za kuingia Bungeni....kwa nini sasa huwa wanakuja kutupigia magoti Wanachama ili tuwape kura. Siasa ni ujinga na usanii tu...Am very happpy that i didnt vote. Sijutii kwa hilo asilani
 
Cdm kuweni flexible ,waacheni hao wadada wahudhulie bunge,
 
Hata mbunye wameliwa sana mwenyekiti wao! Wanajitoa ufahamu
Shida zote wao ndio wanaozijua, wafuasi wengi wa CDM hawana uhalali wa maamuzi yao kwa sababu awajitokezi pale wanapohitaji wapo kwenye mitandao tu.

Kwa ivyo haki ya kuamua kwenda bungeni au la; hayo pia yanatakiwa kuwa maamuzi yao, sio mtu aliekimbilia Belgium na familia yake.
 
Masikini Lissu na Lema,wameachwa kwenye mataa na wajanja wa mjini.
 
Kama wao ndio waucheza huo Muziki na wana mbinu mbadala za kuingia Bungeni....kwa nini sasa huwa wanakuja kutupigia magoti Wanachama ili tuwape kura. Siasa ni ujinga na usanii tu...Am very happpy that i didnt vote. Sijutii kwa hilo asilani
Hiyo ni opportunity ya kuendelea kupaza sauti zao, kwa sababu mkiitwa mtaani amuendi na mtu kama wewe unakiri kabisa kura wala upigi. Hila unataka waendelee kuumia tu kwa ajili yako.

Kwa ivyo tusiwaamulie pia kwenye maamuzi yao.
 
Yuko huko Belgium anakula bata na mabeberu, huku anawapangia chadema!! Maajabu ya nane ya dunia.
 
Kauli ni moja tu , fukuza watu tuanze mpira upya[emoji1787]
 
Hapo mwisho hapo[emoji848]
 
Siasa tuwaachie weupe afrika bado sana
Weupe ndo hao akina Trump wanaodai wameibiwa kura au kuna wengine? Maana hata mchina ni mweupe, mrusi ni mweupe! Tafuta riziki ikisaidie wewe na familia yako
 
Mnyika,Lissu na Chadema yenu hakuna wa kumuamini, wote ni waongo,mara oh tumeibiwa ,mara oh tunafuatiliwa ,mara oh hatuko salama,mara oh tutashitaki ICC ,ni kama watoto vile wanaocheza kidali poo au wacheza bao,ambao wanatakata na kujenga nyumba kwenye bao.
 
Yuko huko Belgium anakula bata na mabeberu, huku anawapangia chadema!! Maajabu ya nane ya dunia.
Tena ata kazi afanyi huko analipwa ‘disability allowance’ sawa na tsh 3m kwa mwezi, nyumba anayoishi bure kodi analipiwa na serikali, elimu ya wanae bure mpaka chuo, matibabu ya afya bure, mkewe nae anapewa hela ya child support na care allowance ya kumwangalia mumewe.

Halafu huku anataka wenzake wale vumbi.
 
Season 1 3pisode 2[emoji2960][emoji23][emoji23]
 
Hata alipoletwa Lowasa ,Mnyika alisusa hana jipya huyu
 
Hiyo ni opportunity ya kuendelea kupaza sauti zao, kwa sababu mkiitwa mtaani amuendi na mtu kama wewe unakiri kabisa kura wala upigi. Hila unataka waendelee kuumia tu kwa ajili yako.

Kwa ivyo tusiwaamulie pia kwenye maamuzi yao.
Asante sana. Nimekuelewa kumbe ni maamuzi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…