Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Weka basi hiyo Barua badala ya kupiga porojo hapa...
 
Yani watu waliofoji uchaguzi ndio washindwe kufoji mihuri na signature kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa hiyo unashangaa kwa kuwafutia mitihani wale watoto kwamba eti wameiba mitihani??
 
Kama serikali inaghushi huku mtaani itakuwaje? tutegemee muendelezo wa kughushi, ikiwa ni moja ya nyenzo ya kujinasua kwenye matatizo

Huwezi kumkabidhi muhuni ofisi yenye mamlaka makubwa ukatarajia atatenda kinyume na hulka yake ya kihuni. Kama hawezi kuheshimu sharia na katiba na desturi hawezi kulinda rasilimali zako hata kwa dakika moja. Na hakika hakuna kilichosalama hakika sasa wahuni wapo ofisi zote wakilinda rasilimali.
 
hakika mkuu. maana umejijengea heshima muda mrefu. kama ni uwezo wa kifedha amekuwa mbunge mda mrefu. bora yangefanywa na wale makinda
 
Ukweli mmekwama,vijambio vyenu havisafishiki
Subiri kauli ya kamati kuu,ili muwatete kama mlivyofanya kwa silinde na lijua likali
Hapo mtakuwa mmejipaka siyo tope bali mavi usoni.
Hatawakuwa wa kwanza kufukuzwa chama, hata Membe si majuzi kafukuzwa huko kwenu? Mwana kulitafuta, mwana kulipata, hao kufukuzwa is a must ili kuweka nidhamu ya chama kwenye mstari, no one is indispensable, aliondoka Dr Slaa na chama kipo sembuse hao? Wataenda kuunda kundi jipya la viti maalum vya NEC/Ndugai [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe mwenyewe unatoa hoja yako kwa misingi ya kisiasa tena siasa uchwara ya hisia zako halafu unatuambia sisi tuweke siasa pembeni. Walioapishwa wanatekeleza haki yao na matakwa ya kikatiba.
 
Wewe mwenyewe unatoa hoja yako kwa misingi ya kisiasa tena siasa uchwara ya hisia zako halafu unatuambia sisi tuweke siasa pembeni. Walioapishwa wanatekeleza haki yao na matakwa ya kikatiba.
unajibu hoja gani. weka mihemko pembeni uje taratibu
 
Sasa wakifukuzwa si ndiyo vizuri waende kuunga juhudi, mbona mnateseka tena??
 
Uzuri wa hii mada imejaribu vizuri sana mamlaka zinavyovunja sheria na kutenda jinai, ingawa baadhi humu wanakejeli hii kitu, ukweli utabaki kwamba vyombo vya umma vibatumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa na vinaenda mbali mpaka kuvunja sheria na kutenda jinai. Mfano wakifukuzwa hao wabunge 19 nina hakika watabakishwa bungeni kwa mabavu (na siyo kisheria) kwa miaka 5. Sasa jiulize hizo fedha zote watakaokuwa wanalipwa visivyo halali ni fedha za nani kama siyo za umma?
 
The cure all situation is to overhaul the entire superstructure system by putting in place a new constitution. Otherwise, it is total anarchy.
 
Uzuri wa nchi hii kuna vilaza wengi kama wewe, ambao kazi yao ni kurushiwa mifupa na left overs kutoka dining table ya wachache wanaoishi kwa kupindisha sheria, sasa hawa wadaka mifupa wana kazi moja tuu, kuimba mapambio ya meza kubwa ili iendelee kuwarushia left overs...
 
Your name tells what you are - "Kilaza".
 
Mawazo mema kabisa. Kuna watu humu JF ni mashabiki bila fikra.
 
Kwani anayepeleka majina kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA ni nani ?
 
Hakuna watu waliopata majeraha ya mwili mara kwa mara katika siasa za Tanzania kama BAWACHA, wengine ni vihehere wa iliyokuwa CUF Zanzibar (be it saa zingine kichapo wanajitakiaga wenyewe) halafu leo watu wawapangie maamuzi yao.
BAWACHA ? Kuna watu wameumia na CHADEMA kama BAVICHA ? Kuna watu wamelinda kura za CHADEMA since way back kama BAVICHA ? Kuna watu wamewapa nguvu CHADEMA kama vijana ? Unaongea utopolo gani mzee ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…