Weka ujumbe wa kibiashara kwa njia ya sauti, mtu akikupigia

Weka ujumbe wa kibiashara kwa njia ya sauti, mtu akikupigia

astalavista

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
261
Reaction score
304
Mtanzania, Karibu kwenye huduma ya Ring back Tunes, huduma ya ujumbe wa sauti kwenye simu yako wakati mtu anakupigia.

RBT inaweza kutumika na mtu yoyote, mathalani Wafanyabiashara/Kampuni/Taasisi na wengineo. Kupitia RBT mfanyabiashara anaweza kutengeneza tangazo lake na kufanya mbadala wa muito wa kawaida ili kuvutia wateja.

Mfano unapiga simu Kampuni ya KILIMO HELA. Mteja akipiga simu atapokelewa na ujumbe kama huu

"Karibu KILIMO HELA, tunapatikana Kibamba Chama, kilomita chache kutoka kituo kikuu cha Mabasi MAGUFULI."

Huu ni mfano, lakini unaweza kuwa na tangazo zuri na bora kutokana na unachohitaji.

Wakati wote nimekuwa naamini, Marketing ni namna yoyote nzuri ambayo unaweza kumfikia mteja wako.

Ni elfu 30 tu unapata huduma hii. 0795790411
1000093598.png
 
UNATAKA KUOA/KUOLEWA, IFANYE KUWA NDOA YA KISASA 2026.

Bulk sms ina uwanja mpana sana, si tu inafaa kwa matumizi ya shule HAPANA, unaweza ukatumia pia hata kwenye taarifa kuhusu mwenendo wa vikao vya kamati ya harusi.

Hii ni nzuri na uhakika, wajumbe watakumbushwa muda wa kikao, ahadi walizoweka n.k.....

Angalia mfano huu wa harusi ya Denis na Flora.

" Ndugu mjumbe wa kamati ya harusi ya Denis na Flora, unakumbushwa kuhudhuria kikao cha bajeti siku ya jumamosi tarehe 17.01.2026 Kibo zone, Malamba mawili."

Pata picha ujumbe huu unakuja kwenye simu yako ukiwa na jina linalosadifu kilichoandikwa. Yaani DF WEDDING au D&F WEDDING au DENIS♥️FLORA.

Raha zote hizi unaweza kuzipata hata kwa shilingi 106,000/= ni rahisi kama hivyo.

Nipigie/WhatsApp
0795790411
 
Back
Top Bottom