Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Hawa mabaka labda muwachokoze ndio utajua hujui lkn hawana tamaa kama hawa wenzetu ..
.
wajeda hawana noma ila usiwachokoze mamwera hawafai wakiona fursa wanakuangushia jumba bovu ili wapige maokoto kuna dogo alimuibia mjeda usiku bila kujua kuwa jamaa ni mjeda likatolewa tangazo aliyeiba arudishe kimya mjeda akaanza upelelezi akamdaka dogo alitembezewa kichapo mpaka akakata moto! Na mjeda akahama mtaa maana alisema nitawamaliza wote!
 
Wasioonekana wenyewe huwa wanasahaulika! Naona ni bora kuwa na urafiki na PT kuliko wasiojulikana kwa sababu wanaweza kukuchoma muda wowote ili aonekane anafanya kazi!
 
Not all saints are God worshippers...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa wametekeleza watoto na wana ubabe sana kwa wake zao SIWAPENDI
Yaani huyo mwanamke hajaamua tu.

Ukienda kazini kumshtaki, ataishi maisha magumu sana

Hawapendi ile reputation ya jeshi kusemwa negative katika jamii, mshahara ukitoka unakatwa unaanza kufika kwa mke wako.

Kwa ajili ya kuendesha familia, hao ambao wametelekezwa ni hawajajua tu Jinsi ya kwenda kumshtaki.
 
Mkuu hili nilishuhudia mwenyewe maneno ya bunju B.

Mjeda mmoja alimuadhibu dogo alikuwa mwizi, watu wamesema mpaka wamechoka mzazi anaendelea kumtetea.


Dogo alienda kujichanganya KUIBA kwa huyo mwanajeshi akaruka ukuta akaingia.

sasa kuna camera halafu dogo alienda mchana kumbe jamaa yupo ndani.

Dogo akakamatwa alikuja kupigwa mtaani kabisa watu wanaona na akawa anasema atakayesogea namuunganisha dogo kapigwa mpaka anakata moto akachukua simu akapiga polisi kuna maiti ya mwizi sehemu Fulani akaondoka.
 
Haya ni mawazo ya watu maskini. Ukiwa na mawazo ya kimaskini daima utajibebisha kwa wanaume wenzako.

Tafuta hela, ukiwa nazo hutakuwa na haja ya kujibebisha Kwa mtu yeyote Lisa sijui ye ni nani.
Jadili hoja.

Karibu sana
 
Soma kisa vzuri

Nafikiri ujaelewa
 
Uchawa kila nyanja. Katiba mpya muhimu ili kila Mtz athaniminiwe kwa uanadamu wake, sio kujipendekeza!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ukiendelea hivi kushobokea WANAJESHI WATAKUOA BILA MAHARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…